Mashine mpya ya kukata nyama na samaki

Mashine mpya ya kukata nyama na samaki

Tokomeza Zero

Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
16
Reaction score
18
Habari wadau,
Nina shida ya kupata mashine ya kukata nyama na Samaki kwaajili ya butcher yangu. Mashine inaweza kuwa used or mpya itanifaa tu. Anayeuza tafadhali anijuze ili tufanye biashara.
Asanteni
 
Back
Top Bottom