Mashine Juice ya Carrot | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashine Juice ya Carrot

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mike Mushi, Oct 17, 2011.

 1. Mike Mushi

  Mike Mushi JF Founder

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 253
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  JF,

  Kuna mashine ipo Steers ya mjini na sehemu nyingine wanazotengeneza juice ya Carrot.. Ninahitaji kama hiyo. Mwneywe kujua inapopatikana nitashukuru sana kwa msaada wake..

  Shukraan..
   
 2. p

  pacificamarine Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ebu waulize hiyo mashine inaitwaje jina na model yake kisha utueleze. Tutakutafutia kwenye masoko ya dunia mpaka ipatikane kisha tutakuletea mpaka Dar ili uje ulipie. Tuandikie kwenye : pacificamarine@yahoo.com
   
Loading...