Mashine gani ya kufulia nguo iliyoimara

Mashine gani ya kufulia nguo iliyoimara

Kimeo

Member
Joined
May 19, 2009
Posts
77
Reaction score
13
Wakuu nahitaji kununua mashine ya kufulia nguo lakini nshindwa kujua brand ipi iliyoimara.nataka nimpumzishe shemeji yenu na vurugu za kufua naomba mnifahamishe aina gani iliyo bora na imara
 
Panasonic ni the best hata ukipata ya mtumba kutoka Japan utadumu nayo zaidi ya miaka 10
 
Back
Top Bottom