Mashindano ya Kagame ni sawa na bonanza

Mashindano ya Kagame ni sawa na bonanza

africa mashariki walianzisha mashindano ya mpira wa miguu kwa virabu mwaka 1974 kwa lengo la kuinua mpira wa miguu kwa ukanda huu cha ajabu chama hicho kimekuwa chama cha ulaji pesa hakuna maendeleo yoyote mpira unazidi kudumaa mpaka sasa ni miaka40 mfumo utatibu ni uleule haubadilishwi ili kuboresha mpira wa miguu inasikitisha inahuzunisha watu wanaendelea kuishabikia cecafa
 
Back
Top Bottom