Mashimo barabarani ya Arusha Moshi

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
8,011
Reaction score
14,351
Wahusika kuna hili shimo lipo aneo linaitwa majani ya chai jirani na petrol station ya panone. Linaharibu sana tairi za magari kiasi kwamba kuna watu wanaoishi jirani na hapo wamenunua jeki wanakaa nazo wanajua lazima kuna mtu tairi itaburst .Tusaidiane kutoa taarifa kwa wahusika
 
Niliendesha gar mwaka jana kutoka moshi hadi arusha (return), baadhi ya maeneo yana shidaaa......na msimu wa kwenda kuhiji umekaribiaaa??
 
Hivi ule mwendelezo wa hiyo barabara Arusha mpka Holili umeishia wapy? Kipande cha mpka Tengeru kimemalizika mda sioni kama kuna mwendelezo. Mwenye kujuwa zaidi atujuze na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…