Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,690
- 5,568
Hali ilipofia sasa mashabiki wa Simba, kuna haja yakutembea huku tukiwa tumebeba dawa za maumivu mfukoni. Kwa timu hii na kocha huyu, kwa uongozi huu wa Rage tusitegemee furaha kamwe. dah inauma sana, yaani SIMBA leo imefikia hatua ya kucheza na timu kama Kagera, afu tunalinda kagoli kamoja? inauma sana, mashabiki sasa tunazeeka kwa mawazo.