GE2025 Masheikh wafanya dua ya kumuombea Paul Makonda apate Ushindi Ubunge Arusha Mjini Kupitia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,435
Reaction score
5,228
Mgombea ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amefanyiwa dua ya kumwombea kushinda uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025.

Dua hiyo ambayo pia imeombea amani katika uchaguzi imefanyika leo Jumanne Septemba 9, 2025 katika ofisi za Baraza Kuu la Waislamuwa Tanzania (Bakwata), Ofisi ya Mkoa wa Arusha ikiongozwa na Sheikh wa Wilaya Arusha, Hassan Junje.

Soma Pia: Paul Makonda ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Arusha Mjini

Makonda anatarajiwa kuanza kampeni Ijumaa Septemba 12, 2025 huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Mgombea mwenza wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi.

Njaa, uchawa, unafiki, na uzwazwa ni majanga. Wanamuombeaje 'kafiri' au nao makafiri?
 
Mgombea ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amefanyiwa dua ya kumwombea kushinda uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025.

Dua hiyo ambayo pia imeombea amani katika uchaguzi imefanyika leo Jumanne Septemba 9, 2025 katika ofisi za Baraza Kuu la Waislamuwa Tanzania (Bakwata), Ofisi ya Mkoa wa Arusha ikiongozwa na Sheikh wa Wilaya Arusha, Hassan Junje.

Soma Pia: Paul Makonda ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Arusha Mjini

Makonda anatarajiwa kuanza kampeni Ijumaa Septemba 12, 2025 huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Mgombea mwenza wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi.

Dua ya kumuombea kushinda au ya kuomba kura!
 
All way up, Arusha ya miaka hiyo noloishi and now days so differ respect to Allah SW and Mr Paul zeeeey hallaaaaaaaa🏇

Fullstop, kwishaaaa
 
Mgombea ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amefanyiwa dua ya kumwombea kushinda uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025.

Dua hiyo ambayo pia imeombea amani katika uchaguzi imefanyika leo Jumanne Septemba 9, 2025 katika ofisi za Baraza Kuu la Waislamuwa Tanzania (Bakwata), Ofisi ya Mkoa wa Arusha ikiongozwa na Sheikh wa Wilaya Arusha, Hassan Junje.

Soma Pia: Paul Makonda ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Arusha Mjini

Makonda anatarajiwa kuanza kampeni Ijumaa Septemba 12, 2025 huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Mgombea mwenza wa CCM, Dk Emmanuel Nchimbi.

Mashehe sijui wamepatwa na nini
 
Kumbe ni BAKWATA . Taasisi ambayo mkuu wake anapokea mshahara kutoka serikalini.
Ingekua ni waoslamu wa vipedo, vilemba na mwendo wa haraka ningesema wana maanisha.
 
Mgombea atapita bila kupingwa bado anaombewa dua
Mashek wamekula ela
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom