MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
Badala ya kulaumu ubongo wako, unaanza kulaamu MOD.Kuna MOD yuko busy kwenda kufukunyua threads zangu za nyuma. Endelea na mkakati wako, ila kwa taarifa yako hakuna popote pale ambapo utakuta contradiction ya aina yoyote ile kuhusu hizo threads ulizoamua kwenda kuzifukunyua. Kila la heri kwenye mkakati wako.
Mkuu hata Mimi nimemuelewa kiasi Fulani kumuita mnafiki ni kumkoseaNilivyo muelewa BAK ni kuwa hazikani threads zake wala posts zake na nyingi akimshutumu lowasa kuwa ni fisadi so hata alipokwenda chadema yeye BAK aliendelea kumuona kwa jicho hilo hakuwahi kumsafisha.
Sasa anasema mwenye thread yoyote inayo muonyesha BAK akimpaka sabuni lowasa watu waiweke ndio nadhani hoja yake ya msingi imelalia hapo .
Yaah mimi nadhani watu walete hizo threads au post kwa nia njema tu hapa tunaelimishana na pia tuna mitizamo tofauti ila mwisho wa siku sisi sote ni wamoja.Mkuu hata Mimi nimemuelewa kiasi Fulani kumuita mnafiki ni kumkosea
JF kiboko.Badala ya kulaumu ubongo wako, unaanza kulaamu MOD.
Kwani MOD ndio walikuambia ulete thread au utoe comment?
Wakati unatoa komenti zako hukufahamu kama kuna MOD?
You reap what you sow!
watanzania tulikuelewaNchi itapata laana kwa mara ya pili baada ya kikwete km mamvi jambazi sugu atakuwa rais
hayo maneno ukiyarudia Leo, nakupa bil.1Lowasa hafai kua rais Mwalimu Nyerere alishamkataa kwa kua ni fisadi. JK akayapuuza maneno ya Mwalimu akamjaribu kwa kumpa uwaziri mkuu wote tunajua deal za kifisadi alizocheza. Sasa tunataka kumjaribu kwa urais hivi watanzania Tumelogwa?
kweli anadhalilikaBadala ya kuupata urais huyu mzee anaambulia kudhalilika tu ! ama kweli wahenga walinena , kuchamba kwingi mwishowe .........
Tulimpinga kila mwanaccm , ukileta yaliyopita haitasaidia chochote , tumeanza ukurasa mpya , ccm siyo chadema .kweli anadhalilika
Hata aibu huoni?Badala ya kuupata urais huyu mzee anaambulia kudhalilika tu ! ama kweli wahenga walinena , kuchamba kwingi mwishowe .........
Kuelekea kwenye uchaguzi mkuu....waTANGANYIKA tutashuhudia vioja vingi sana....vingine vya kushangaza na vingine ni vya kustaajabisha....lakini lengo likiwa ni moja tu....kuupigania ufalme...kuna baadhi ya viongozi wanaowania huo ufalme wanatupa mashaka na wasi wasi kutokana na haraka na pupa zao kuelekea kwenye kiti cha Enzi.....tunatakiwa tutumie fikra zetu kujua kuwa kwanini...wana haraka sana..?? Hiyo haraka inatokana na nini...?? Je ni huruma walionayo juu ya matatizo yetu ndio inayowafanya kuwa na haraka sana kuelekea kwenye kiti cha Enzi......na kwanini huruma hiyo hiyo iwe katika kipindi hichi na sio kipindi kingine....?? Wengi wao si wageni katika uongozi, wamewahi kushika nyadhifa mbali mbali hapa nchini....je uongozi wao ulikuwa na tija gani kwetu kama wananchi...?? Kwanini leo waonekane kuguswa sana na matatizo yetu ambayo wanayafahamu tangu miaka mitano iliyopita na mengine wameyaongeza wao wenyewe.....??.....Ndugu zangu WATANZANIA ,walala hoi wenzangu , wakina baba kabwela wenzangu, wakina pangu pakavu wenzangu, hichi ni kipindi ambacho tunapaswa kutumia akili zetu na ufahamu wetu bara bara....mateso tuliyopitia kwa kipindi cha miaka mitano kama vile ,huduma duni za afya, miundo mbinu mibovu, kutokuwa na umeme wa uhakika hivyo kusababisha shughuli nyingi za kimaendeleo kusimama mara kwa mara....., usimamizi mbovu wa rasilimali zetu unaopelekea tuzidi kuwa mafukara na kugeuka kuwa omba omba ndani ya nchi yetu wenyewe huku tukishuhudia wageni wakineemeka vilivyo kutokana ukiritimba unaofanywa na viongozi wetu, huduma duni za ulinzi na usalama wa raia na mali zake na kukithiri kwa rushwa kwenye idara hiyo nyeti hali inayofanya kupatikana kwa haki kwa sisi wanyonge kuwa ni kitendawili.....wizi unaofanywa kwa wazi wazi wa kodi zetu......hapa naongelea mambp ya ESCROW na mambo mengine yanayolifanya taifa lichechemee.......Mateso hayo yatupelekee sisi kufanya maamuzi ya busara siku ya uchaguzi hapo oktoba.......uamuzi ni wetu kuamua yale mateso na mahangaiko yajirudie kwa kuwachagua wale wale waliotusababishia matatizo hayo...au kuwachana nao na kuwaweka wengine..wanaoonyesha kuguswa na matatizo yetu......tukumbuke kuwa kosa tutakalolifanya kipindi hiki...litatughalimu miaka mitano ijayo......AMKA MTANZANIA,..........
ANATOKA MSANII... WANAINGIZA MPIGAJI.... patachimbika mwaka huu LIWALONALIWE....
WAPI MWIGULU????
mmmmmmmmmh!Badala ya kuupata urais huyu mzee anaambulia kudhalilika tu ! ama kweli wahenga walinena , kuchamba kwingi mwishowe .........
Ha ha ha...kwa hiyo wewe unapinga tu (hata walio sahihi) kwa kuwa ni mwana ccm.Tulimpinga kila mwanaccm , ukileta yaliyopita haitasaidia chochote , tumeanza ukurasa mpya , ccm siyo chadema .