Mashaurini huyu Mwanamke

KAMA SIO WEWE MHUSIKA USITUCHOSHE kushauri watu hewa kila siku!

Idumu Jf ninayoifahamu.
 
Tulizana Ndugu, Kiufupi tu hapo sio sehemu Sahh kwako kimwili mpaka ki afya, Anakushauri vipi utoe mimba huku n mumeo pasipokua na strong point? Unafaham nini kifuatacho baada ya kutoa mimba ktk Mji wako wa Uzazi? Jiurumie tulizana pingana na tamaa zako wako wanaokupenda na kuitambua thaman yako. Usifanye tena makosa Over.
 
kwani JF wanapotoa mada zao FB wanaochangia ni members au.kama unakwama kalale
KAMA SIO WEWE MHUSIKA USITUCHOSHE kushauri watu hewa kila siku!

Idumu Jf ninayoifahamu.
 
Thanks buddy
 
Acha kutufanya watoti unacopy story huko facebook unatuletea sisi. Yjinga huu.
 
Mwanaume anapokuambia utoe mimba na ukatekeleza kweli.

Hawezi kukupenda na kukuamini tena. Kama umeweza kuua kiumbe chake basi hautoshindwa kumuua pale utakapotaka.
 
Kiufupi, hufai kuwa mama wa watoto wake ndio maana hata mimba mnazichomoa.
Hufai hata kuwa mke.!!
Hufai hata kulumangia kachumbari.

Mwanamke wa kujisifu kutoa mimba nyingi za mwanaume Ni poyoyo na kichwani kwake Kuna kamasi tupu!!
 
Natamani nikutukane...hivi unatoaje mimba kwa kushawishiwa na mwanaume? Pambav..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…