Lini elimu iliwahi kuwa bure 100%?Miaka yote imf na world bank hawajahi kufinance nchi maskini ili wapate urahisi wa elimu,nishati na afya.ukishaingia kingi lazima tutarajie kuondolewa kwa elimu bure muda si mrefu...hili la umeme wa 27k lazima lina influence ya hawa jamaa...mazingira yanatengenezwa ya kulibinafsisha tanesco and then we are finished
Amesema "kila fursa nitakayoiona ... ya kuijenga Tanzania nitaitumia". Mazingira ya fursa hizo yanatengenezwa na anaingizwa choo cha jinsi nyingine. WAJINGA ndio waliwaoMiaka yote imf na world bank hawajahi kufinance nchi maskini ili wapate urahisi wa elimu,nishati na afya.ukishaingia kingi lazima tutarajie kuondolewa kwa elimu bure muda si mrefu...hili la umeme wa 27k lazima lina influence ya hawa jamaa...mazingira yanatengenezwa ya kulibinafsisha tanesco and then we are finished
Miaka yote imf na world bank hawajahi kufinance nchi maskini ili wapate urahisi wa elimu,nishati na afya.ukishaingia kingi lazima tutarajie kuondolewa kwa elimu bure muda si mrefu...hili la umeme wa 27k lazima lina influence ya hawa jamaa...mazingira yanatengenezwa ya kulibinafsisha tanesco and then we are finished
Hivi mtaishi kwa kutunga mambo hadi lini we jamaa?
Fanyeni kazi achaneni na ma theory ya mitaani hayo.
Hiyo elimu unayoita bure uliipata lini? Unajua kwanini katika miaka 5 mlikopa Tr 29? Unajua zilikuwa zinafanya nini?
Hebu tulieni mfanye kazi, acha kujidanganya. Unataka mtu akusomeshee watoto wako na wewe baba mzima unapunga mikono tu. Fanya kazi tafuta hela hudumia familia yako acha wazimu
Eti Tanzania ni Tajiri. Kaa jidanganye hivyo hivyo.Tulia wewe acha kupotosha watu…
Elimu bure inawezekana Tanzania ni tajiri…mnajilemaza na mikopo hapa wakati rasilimali zimewazunguka…mnawaachia mabeberu wana dictate terms…nchi itapigwa mnada wala si uongo…
Eti Tanzania ni Tajiri. Kaa jidanganye hivyo hivyo.
Hebu omba Mungu akujaalie siku moja utoke uzunguke duniani alafu urudi uandike hivi tena
Wapi huko?Huwa naenda si chini ya mara sita kwa mwaka
Tusiwasingizie mabeberu juu ya matatizo yetuMiaka yote imf na world bank hawajahi kufinance nchi maskini ili wapate urahisi wa elimu,nishati na afya.ukishaingia kingi lazima tutarajie kuondolewa kwa elimu bure muda si mrefu...hili la umeme wa 27k lazima lina influence ya hawa jamaa...mazingira yanatengenezwa ya kulibinafsisha tanesco and then we are finished
Ndio ktk tano bora duniani ni tajiri wa raslimali .Eti Tanzania ni Tajiri. Kaa jidanganye hivyo hivyo.
Hebu omba Mungu akujaalie siku moja utoke uzunguke duniani alafu urudi uandike hivi tena
Ooooh Sawa kabisa Boss. Hongereni sanaNdio ktk tano bora duniani ni tajiri wa raslimali .
Madini tu yaliyopo wilaya moja tu ya tza yanatosha kulipa deni la taifa lote na chenji
Hadi sasa deni la taifa lingekuwa tilioni 100Mtamkumbuka JPM na bado…
Karibu wilaya zote tza zimejaa madiniOoooh Sawa kabisa Boss. Hongereni sana
Ni wilaya gani hii?
Yani unataka kutuaminisha kuwa tanzania haiwezi kisonga mbele bila mikopo si ndio!!??Hivi mtaishi kwa kutunga mambo hadi lini we jamaa?
Fanyeni kazi achaneni na ma theory ya mitaani hayo.
Hiyo elimu unayoita bure uliipata lini? Unajua kwanini katika miaka 5 mlikopa Tr 29? Unajua zilikuwa zinafanya nini?
Hebu tulieni mfanye kazi, acha kujidanganya. Unataka mtu akusomeshee watoto wako na wewe baba mzima unapunga mikono tu. Fanya kazi tafuta hela hudumia familia yako acha wazimu
Miaka yote 60 ya uhuru tunaomba omba na kukopa kopa. Muujiza gani utatokea tuweze bila kusonga mbele bila ya mikopo?Yani unataka kutuaminisha kuwa tanzania haiwezi kisonga mbele bila mikopo si ndio!!??
Hadi sasa deni la taifa lingekuwa tilioni 100
Amesema Tanzania inaraslimali nyingi kwani uongo!Eti Tanzania ni Tajiri. Kaa jidanganye hivyo hivyo.
Hebu omba Mungu akujaalie siku moja utoke uzunguke duniani alafu urudi uandike hivi tena