Shida hata watu walio serious kwa ajili ya kuwapa hayo madaraka kwa sasa hawapoHadi tutakapoipumzisha CCM, bado tupo tupo sana
Shida hata watu walio serious kwa ajili ya kuwapa hayo madaraka kwa sasa hawapoHadi tutakapoipumzisha CCM, bado tupo tupo sana
Kwamba mpaka inafikia kuanza utekelezaji itakuwa haikupitia Baraza la Mawaziri !Hili suala litamuondoa Ummy mijino pale Afya au Anna Makinda Manywele kama Mwenyekiti wa Bodi
Shida hata watu walio serious kwa ajili ya kuwapa hayo madaraka kwa sasa hawapo
Una information kuhusu kifurushi cha wastaafu above 60 years old?Toto ni aidha umlipie mtoto 120,000 shuleni au Aunganishwe kwenye kifurushi cha kuanzia laki 504000 cha baba mama na mtoto.
Hapana sina hizoUna information kuhusu kifurushi cha wastaafu above 60 years old?