Masharobaro wote walikufa "Gongo la mboto"kutokana na majibu ya😵na ilivyokuwa:-
Lala chini bom hilo! "ntachafuka men"
Tamko!hali ya hatari panda lory! "nasubir tax men"
Zima simu kuepuka mionzi ya mabom! "naongea na baby men"
Hayo ndo majibu tuliyoambulia katika purukushani za kuokoa.........