Linyakalumbi
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 263
- 107
Bla bla nyingi za nini?Laiti mngejua mnachojadili ni mfumo,walahi msingepoteza muda.Lakini kuwaelewesha magamba sio mbaya sana maana nchi ni yetu sote,tukiwaacha wapotee zaidi tutapata tabu huko tuendako.Jibnnu sahihi la Hesabu huwa na formula moja tu,kama ni simultaneous method basi iwe hivyo na kama ni Integration iwe hivyo,au differentiation sawa,Quadratic equation Okay.Ukijichanganya tu umekwisha.Formula tuliyo nayo ni hiyo ya Magamba tufanyeje?Wao na Serikali yao Wanatoa mil.90/= Mkopo(ambao ni haki miliki ya Mkopaji) hata akinunua Bajaji au Vitz lakini kachukua 90/=.Tatizo tunalopaswa kulitambua ni Thamani ya Mali iliyoidhinishwa ambayo Ndio Dr.Slaa alitaka kuja kuifanyia kazi!Na ndio ataifanyia kazi 2015. Kwani Mnyika hiyo Vitz muulizeni alikopa m.90/= au hakukopa? Na kama alikopa je,Vitz inauzwa m.90/=?Utasikia alizitumia kwenye maendeleo ya Walipa Kodi,sawa na vema,Ndio wajibu wake?Ni nini kazi ya Serikali ya JK? Kwa hiyo nayetwishwa lawama hapa ni Serikali anaye wakopesha hawa mihela yote hii.Mfano:Wanafunzi wa Elimu ya Juu kwenye Mkopo wao kuna Pesa ya Stationary 250,000/=,ulishawahi fanya utafiti ukaona wanachoifanyia hii pesa?Je,Bodi inawalazimisha au inawakagua Stationary walizonunua?Ni mkopo,mkopaji anauhuru wa Kutumia apendavyo,mwingine Kiti Moto,mwingine "Lulu's" n.k.Lakini hii hii Body Inatoa Accomodation Fee kama 300,000/=,wengine wanaishi majumbani mwao kwa wazazi wao,wengine wanapanga uswazi na kulipia 150000/=Tu.So kuweni na akili.tatizo sio Chadema na halitakuwa tatizo lao,Hata Mh.Mbowe lile Koko ni haki yake kabisa,anayetakiwa kuona ni gharama na hasara ili azuie ni Serikali!!Ngoja nifute machozi kwanza kuwalilia kina Rejao,Ritz,Katiba Mpya,Ngongo kwa kukosa Elimu Dunia na kujifanya vipofu japo wanaona ukweli.Mimi binafsi ningedhani hata Posho wangegonga tu maana Formula yenyewe imeshindwa kusolve hesabu,Tutapobadili Formula 2015 Ndio Jibu Litapatikana.Unajua hata Dr.Slaa alipokuwa anatangaza kwamba Mashangingi kwa Serikali ni anasa na mzigo kwa Walipa kodi alimaanisha Magari ya Serikali kama vile ya wabunge,mawaziri & Naibu wao,Wakuu wa Mikoa,wilaya na Wakurugenzi n.k. LAKINI hakumaanisha kwamba Lowassa usinunue Shangingi,Rejao Usinunue Shangingi,Kipeke Usinunue Shangingi.Why?Wakati ni Pesa yako na Unayo!Iwe kwa mkopo wa Ubunge au whatever is excellent.TATIZO ni Kwanini Hiyo Dolla yaani Serikali Isiwakopeshe wabunge Pesa za Kutosha Bajaji?Kwa sababu mimi namwambia Mke wangu sina pesa usinunue Nyama,lakini Nilishamwambia matumizi ya pesa ninayokupa unauhuru wa kununua upendacho tule hapa ndani sio.Sasa nimempa 10,000/=,unataka anunue bamia na mkunungu?mpe 2000/= uone kama atanunua hizo pochozi!!!
wewe ni bogas kabisa ni sawa na masaburi unashindwa hata kutofautisha kitu kinachonunuliwa na kodi za watanzania wavuja jasho na zinazo2miwa na CDM au kodi inalipwa kwa CDM ckuiz?kama ni kweli 2tasema wana2mia vibaya mali ya uma lakini km c hivyo hebu nenda kafikiri vizuri.
CHADEMA ilitoa hoja za msingi sana wakati wa Kampeni za Mwaka 2010 na zikakubalika na wananchi wa Tanzania.
Mgombea Urais wakati huo MH: Willbroad Peter Slaa na wagombea wa nafasi za Udiwani na Ubunge walikuwa wanatoa tuhuma kwamba serikali iliyopo madarakani inafuja fedha za wananchi kwa kununua magari ya kifahari aina ya Land Cruiser VX na V8 wakati fedha hizo zingetumika vizuri zingeleta maendeleo kwa wananchi. Katika kukoleza hoja hiyo ikaaminishwa kwamba kama CHADEMA ikishika madaraka basi magari hayo ya kifahari yatauzwa na madala yake yatanunuliwa magari madogo ya bei rahisi.
Slaa alikuwa anasema aina ya magari yanayotumiwa na Wakuu wa Wilaya na Mikoa thamani yake ni sawa sawa na gari moja kujenga Zahanati Nne vijijini. Wanachi waliambiwa kwamba magari hayo yatauzwa na fedha itakayopatikana itatumika kuwekeza kwenye Elimu.
Baada ya uchaguzi wa Mwaka 2010 viongozi wa CHADEMA hawatumii VX au V8 kwa matumizi ya kichama na yao binafsi, au thamani ya magari hayo imeshuka baada ya wao kuanza kuyatumia?
UKIKEREKA SEMA UPENDAVYO!!

usikurupuke tofautisha kati ya magari serikali ambayo yananunuliwa kwa kodi za wananchi na magari ya binafsi.
Kwanza nikuulize. Hivi usingeweza kujenga hoja yako ya kuipinga hoja yangu bila ya kuandika hilo neno nililoli-bold?
Wengi wa walioipinga hoja yangu wameongea kama vile mimi sielewi nani anakusanya kodi na serikali inatumiaje kodi inayokusanya. Kiuhalisia serikali kukusanya kodi na kuigawanya kwa matumizi ya serikali ni mambo mawili tofauti. Kodi inayotumika kulipa wafanyakazi wa kufagia maofisi ya serikali ndiyo hiyo hiyo inayotumika katika kulipa posho wabunge na mawaziri wa serikali. Hakuna Kodi inayokusanywa maalum kwa ajili kuwalipa wabunge marupurupu yao.
Hoja yangu hapa ni ya kimaadili. Mtu mkweli utamtambua kwa matendo yake, ndiyo maana nasema nguruwe akiuzwa uswahilini au super market wote ni nguruwe na bado watakuwa ni haramu kwa waislamu na wasabato. Kama wao CHADEMA walisema matumizi ya mashangingi ni hasara kwa serikali basi wangeonyesha kwa vitendo kwa.
Nimetoa mfano wa baadhi ya wabunge ambao kwa hakika walikuwa hawana hata uwezo wa kununua Baiskeli lakini leo wanamiliki VX kama vyombo vyao vya usafiri. Makadirio ya kuwapa wabunge mafuta yanatokana na aina ya magari ambayo wabunge wengi wanatumia. kama wabunge wengi wa CHADEMA wangekuwa na magari mdogo yanayotumia mafuta kidogo ni pesa ngapi za walipa kodi zingeokolewa kwa wabunge hao kutumia magari ya "kawaida"?
Sisi ambao tunafika kwenye viwanja vya bunge mara kwa mara tunajua siyo tu wabunge wa CCM hata wabunge CHADEMA nao huwa hawaji na magari yao DODOMA lakini bado tu wanachukua na posho ya kuyahudumia magari yao wakiwa DODOMA.
Mkuu Ringo Edmund,
Mi mzima bu heri wa afya isipokuwa mfuko umekauka unajua pasaka ilikomba vijisenti vyangu vyote.Mkuu RE unajua kuna tatizo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda mrefu sana na mbaya zaidi nimeanza kuona hii hali hata mitaani wanzi wa CDM hawataki kukosolewa,kuulizwa jambo lolote,kudadisiwa na nk.Ukiuliza swali hawakawi kukupachika majina ya kuzimu maana ya hapa dunia wamashamaliza yote.
Mkuu Kingarama kauliza swali dogo sana nilitegemea watakuja watendaji,wapenzi au viongozi wa CDM kutoa ufafanuzi including lile sakata V8 la KU limemalizika vipi !.Badala ya majibu mjadala unaelekezwa kwenye kejeli au hii ni mbinu ya kuficha maovu ?.
acha uvivu wa kufikiri wewe!! hivi hauoni ubadhirifu unaofanywa na serikali yenu ya ccm?CHADEMA ilitoa hoja za msingi sana wakati wa Kampeni za Mwaka 2010 na zikakubalika na wananchi wa Tanzania.
Mgombea Urais wakati huo MH: Willbroad Peter Slaa na wagombea wa nafasi za Udiwani na Ubunge walikuwa wanatoa tuhuma kwamba serikali iliyopo madarakani inafuja fedha za wananchi kwa kununua magari ya kifahari aina ya Land Cruiser VX na V8 wakati fedha hizo zingetumika vizuri zingeleta maendeleo kwa wananchi. Katika kukoleza hoja hiyo ikaaminishwa kwamba kama CHADEMA ikishika madaraka basi magari hayo ya kifahari yatauzwa na madala yake yatanunuliwa magari madogo ya bei rahisi.
Slaa alikuwa anasema aina ya magari yanayotumiwa na Wakuu wa Wilaya na Mikoa thamani yake ni sawa sawa na gari moja kujenga Zahanati Nne vijijini. Wanachi waliambiwa kwamba magari hayo yatauzwa na fedha itakayopatikana itatumika kuwekeza kwenye Elimu.
Baada ya uchaguzi wa Mwaka 2010 viongozi wa CHADEMA hawatumii VX au V8 kwa matumizi ya kichama na yao binafsi, au thamani ya magari hayo imeshuka baada ya wao kuanza kuyatumia?
UKIKEREKA SEMA UPENDAVYO!!
chadema kimejaa wahuni,wametumwa humu kuja kushut down hoja kwa kutumia kejeli,mbinu ambayo hata hivyo haijawahi kuwasaidia sana,tunatka slaa aje atoe ufafanuzi sio hawa chadema kata ya kibororoni,slaa amekua mwepesi sana kuchagua hoja za kujibu tunampa changamoto popote alipo hata kwa kumtumia shemeji shumbusho ambae nae ni mwenzetu mzuri tu humu waje watoe ufafanuzi zaidi kama nape ambavyo amekua akifanya kwa ccm ama jully mtatiro kwa cuf,tuache uoga

Kwa hiyo yule mbunge mziniz aliyefumaniwa Igunga akiwa na mke wa mtu, alikuwa anazinzika kwa kodi ya wananchi???Nazungumzia "consistency" ya chama kwenye mambo wanayoyapigania wakati wa Kampeni. Kusema akili yangu mbovu hakuondoi ukweli kwamba hata hayo mashangingi ya CHADEMA yananunuliwa na kwa kodi za wananchi. Wewe hujui kuna baadhi ya wabunge kabla ya kuwa wabunge hata Baiskeli walikuwa hawana uwezo wa kununua.
Unajisahaulisha kwamba wabunge wote walipewa mkopo wa shilingi Milioni 90 na ofisi ya Bunge kwa ajili ya kununulia magari yao?
wewe ni gay. Haiwezekani mtoto wa kiume ujiite kim kadash.
Pumbaaf zako mtumwa wa nape wewe.
WEWE NI GAY. HAIWEZEKANI MTOTO WA KIUME UJIITE KIM KADASH.
PUMBAAF ZAKO MTUMWA WA NAPE WEWE.
shwain zako....
Hoja ya hayo mashangingi bado iko palepale bila kujali kama CHADEMA wanatumia au la. Hoja ya msingi ni kuwa fedha nyingi sana zinatumika kununulia magari kwa matumizi yasiyo ya msingi. Waziri Mkuu Pinda wakati anakuwa kwenye hicho Cheo alisema kuwa angesimamisha UNUNUZI WA MAGARI HAYO. Hilo pekee linaonyesha kwa sisi wote tunayachukia matumizi hayo IKIWEMO SERIKALI YENYEWE. Hoja iko palepale hayo magari hayahitajiki. Hivi brother unajua kuwa hayo magari huwa yananunuliwa mengi kufikia mpaka 1,000? Tuwe wazalendo, tupinge mabaya. Chadema wanatumia magari yao kwa kazi inayoonekana wakati yale ya serikalini ni ya ANASA TU! TUIPENDE TANZANIA, TUCHUKIE MATUMIZI MABAYA.CHADEMA ilitoa hoja za msingi sana wakati wa Kampeni za Mwaka 2010 na zikakubalika na wananchi wa Tanzania.
Mgombea Urais wakati huo MH: Willbroad Peter Slaa na wagombea wa nafasi za Udiwani na Ubunge walikuwa wanatoa tuhuma kwamba serikali iliyopo madarakani inafuja fedha za wananchi kwa kununua magari ya kifahari aina ya Land Cruiser VX na V8 wakati fedha hizo zingetumika vizuri zingeleta maendeleo kwa wananchi. Katika kukoleza hoja hiyo ikaaminishwa kwamba kama CHADEMA ikishika madaraka basi magari hayo ya kifahari yatauzwa na madala yake yatanunuliwa magari madogo ya bei rahisi.
Slaa alikuwa anasema aina ya magari yanayotumiwa na Wakuu wa Wilaya na Mikoa thamani yake ni sawa sawa na gari moja kujenga Zahanati Nne vijijini. Wanachi waliambiwa kwamba magari hayo yatauzwa na fedha itakayopatikana itatumika kuwekeza kwenye Elimu.
Baada ya uchaguzi wa Mwaka 2010 viongozi wa CHADEMA hawatumii VX au V8 kwa matumizi ya kichama na yao binafsi, au thamani ya magari hayo imeshuka baada ya wao kuanza kuyatumia?
UKIKEREKA SEMA UPENDAVYO!!
Kabisa ndugu yangu!! Sisi tunadharau lakini kuna mgombea Urais (jina nimelisahau) kwenye uchaguzi wa Marekani mwaka 2008 alishitakiwa kwa kutumia hela alizochangiwa kwa ajili ya Kampeni yeye akatumia baadhi hela hizo kwa kununulia gauni la hawara yake. Wamarekani fedha binafsi ni zile unazozipata kwa kuuza makongoro na baada ya kulipa kodi yao na siyo hizi zinazotokana na wewe kuwa mwakilishi wa wananchi.Kwa hiyo yule mbunge mziniz aliyefumaniwa Igunga akiwa na mke wa mtu, alikuwa anazinzika kwa kodi ya wananchi???
kama huko kwenu mwanamke anaweza kuwa gay it sounds cool to me unless hujui maana ya neno lenyewe umemsikia tu analopoka hilo neno pengine mtoto wako na wewe ukalibeba kama lilivyo na kuja nalo hapa,kwa kukusaidia tu nenda google then type hilo neno pale halafu click search utapata maana yake halisi then urudi kufanya marekebisho baada ya kubaini u.p.u.u.z.i wako wa kutumia maneno bila kujua maana yake
Wewe ni nguruwe tu. Huna hoja mtumwa wa magamba wewee.
Katika jamii mtu akikosa hoja ndo anakuwa hivi.Wewe ni nguruwe tu. Huna hoja mtumwa wa magamba wewee.