Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,519
- 55,173
Daaah jana naona ulisikitika sanaHahahah
Wana hasira na mimi kwa kuwasababishia washindwe vita
Daaah jana naona ulisikitika sanaHahahah
Wana hasira na mimi kwa kuwasababishia washindwe vita
Daresalam🤣HUMRI.
DR ALIMAANISHA NINI HAPA?
NI YULE WA MUHIMBILI ALIYEFANYAGA UPASUAJI WA KICHWA BADALA YA GOTI?
Sio mimi Mkuu, ni mwana-JF mmoja hivi...😀Daaah mkuu sio nia yangu lakini kama umejua basi bahati mbaya
🤣🤣🤣Huyu sio Poor Brain kweli😁😁😁
Sahihi mkuuNasikitika sana kama ni doctori kweli, coz hamna mtu mwenye access ya wadada na wamama kama daktari kibongobongo yani wanajipanga foleni deile mlangoni kwa ofisi yake, so anaweza kuimbisha atakavyo na kuchagua sample anayotaka at any time, ukiona daktari anatafuta kimeo online ujue labda wa mifugo!
Pole yake...
Hapa lengo ni mbususu tu hakuna kingineHuyu anataka kula mbususu kiulaini.