Mashamba makubwa yanauzwa mkoani Morogoro katika wilaya ya Kilosa eneo la Msowelo,kwa mwenye kuhitaji naomba ani PM tafadhali
Asante sana mkuu hii habari, mimi ninampango wa kulima mahindi mwakani katika kiwango cha kibiashara, kama wewe unayafahamu maeneo haya waweza kutoa maelezo zaidi kuwa yanafaa kwa mazao gani haswa na taarifa za bei zitakuwa msaada mkubwa sana.
mimi natafuta kule matombo kwenye milima maana kunafanana na moshi mkuu
mkuu ni makazi na kilimo mkuu si unajua kule moshi ardhi imekuwa dili kinyama nataka nihamie moro na kizazi changu kijacho mkuu niko serious .Matombo unatafuta kwa ajili ya kilimo au makazi mkuu!siko na uzoefu nako maeneo ya matombo,ila kama uko serious nikuulizie kwa wadau wa kule
Msowero..this price... interestingkuhusu bei haya ya umuagiliaji yanaanzia 550,000/= kwa heka na maelewano yapo na haya yasiyo ya umuagiliaji yana range kati ya 370,000/= mpaka 430,000/= kwa heka ila maelewano yapo pia!
Msowero..this price... interesting
mkuu vipi ,hayo mashamba yaliisha yote .na mlionunua tunaomba mrejeshoMkuu maeneo haya yamegawanyika mara mbili,yapo ambayo yanafaa kwa kilimo cha umuagiliaji kama vile nyanya,tikiti maji,hoho,vitunguu etc,na pia yapo yanayofaa kwa kilimo cha kawaida kama vile,ufuta,alizeti,mahindi etc,kuhusu bei haya ya umuagiliaji yanaanzia 550,000/= kwa heka na maelewano yapo na haya yasiyo ya umuagiliaji yana range kati ya 370,000/= mpaka 430,000/= kwa heka ila maelewano yapo pia!