Mashamba Ya Kupanda miti ya mbao Yanauzwa

Mashamba Ya Kupanda miti ya mbao Yanauzwa

Joined
Oct 18, 2016
Posts
28
Reaction score
4
Bei ni tsh laki moja tu Kwa heka
Zinauzwa kuanzia hekali kumi na kuendelea.
Yanapatikana ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe
Kwa mahitaji wasiliana nami kwa simu namba 0764426929 na whatsap 0742188846
Badilisha maisha yako kwa kilimo cha miti ya mbao
 
Wazo zuri sana mkuu, wakati huu ambapo serikali imeamka kuanza kuopima maeneo na kuchukua mashamba yasiyoendelezwa, hayo mashama mikataba yake ikoje?
 
Bei ni tsh laki moja tu Kwa heka
Zinauzwa kuanzia hekali kumi na kuendelea.
Yanapatikana ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe
Kwa mahitaji wasiliana nami kwa simu namba 0764426929 na whatsap 0742188846
Badilisha maisha yako kwa kilimo cha miti ya mbao
Naomba kujua bei ya mche mmoja wa miti na idadi ya miche katika Eka moja.
Aina gani ya miti inastawi zaidi? Pine,etc.
Bei ya mti uliokomaa ni sh. Ngapi kwa sasa? Na wastani umri gani unafaa kuuza miti?
 
Back
Top Bottom