M MansaMusa Senior Member Joined Sep 11, 2013 Posts 103 Reaction score 13 Oct 7, 2013 #1 Wahi fursa ya pekee zimebaki Hekari 100 tu. Zipo Igeleke - Mufindi. Hekari moja ni Tsh 110,000/=, ukinunua nyingi unapata punguzo. Wahi kabla haizijaisha. Contact: 0687 022411
Wahi fursa ya pekee zimebaki Hekari 100 tu. Zipo Igeleke - Mufindi. Hekari moja ni Tsh 110,000/=, ukinunua nyingi unapata punguzo. Wahi kabla haizijaisha. Contact: 0687 022411
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,497 Reaction score 7,426 Oct 9, 2013 #2 Niambie umbali kutoka mufindi mpaka Igeleke kilometa ngapi?pili naomba uniambie Bei za mbegu za miti ya Painas hapo Iringa tsh ngap kwa kilo?baada ya hapo kupata majibu ndo nifanye uamuzi wa kukupigia
Niambie umbali kutoka mufindi mpaka Igeleke kilometa ngapi?pili naomba uniambie Bei za mbegu za miti ya Painas hapo Iringa tsh ngap kwa kilo?baada ya hapo kupata majibu ndo nifanye uamuzi wa kukupigia