Jackson francis bitamale
Member
- May 6, 2018
- 14
- 0
Nnashida nayoNaomba mawasiliano yakooo mkuuu 0716896430 na 0759115764 ncheki
Nnashida nayoNaomba mawasiliano yakooo mkuuu 0716896430 na 0759115764 ncheki
Ngoja ni ku pm # yanguSamahani nahitaji mawasiliano yako
NILIAMINISHWA HANDENI KUNA WALOZI BALAA, VIPI HALI ILIVYO SASA?Kiasi kikubwa ni Udongo Mwekundu, Mfinyanzi na Mchanga ni baadhi ya maeneo Machache tu., Maji ni Changamoto hususani kipindi cha Kiangazi hivyo kama unahitaji Kilimo kwa Mwaka Mzima lazima uchimbe Kisima, vinginevyo utafute Shamba ambalo limepitiwa na Mto Msangazi!
Morogoro sehemu gani hukomorogoro maeneo gan mkuu
Kwa hiyo?.Sijui
Walozi wapandie miti SHAMBA LA miti ya Mbao,au Dawa hawawezi iroga.NILIAMINISHWA HANDENI KUNA WALOZI BALAA, VIPI HALI ILIVYO SASA?
hahahahahahahWalozi wapandie miti SHAMBA LA miti ya Mbao,au Dawa hawawezi iroga.
ikwiriri sehemu gani mkuu?0715591141 namba yangu
Ova
Pale ikwiriri posta stendi....mashamba unaingia kuliaaa miundo mbinu kwenda shambani yako Vizuri sana.....ikwiriri sehemu gani mkuu?
kulia kama waenda mkongo?Pale ikwiriri posta stendi....mashamba unaingia kuliaaa miundo mbinu kwenda shambani yako Vizuri sana.....
Ova
Morogoro sehemu gani mkuu, na bei zake zipoje?karibu morogoro mashamba yapo meng sana
Kama uhitaji utakuwepo bado mnakaribishwa Wilayani Handeni mje mjipatie ardhi yenye rutuba kwa gharama za Elf 80 hadi laki moja.
Nauli kutoka DSM hadi Handeni ni elf 10 tu, unatoka asubuhi na Jioni unarudi DSM, usafiri upo Wa kutosha na luxury, Barabara ni lami hadi Handeni.
Kubwa zaidi hivi mchakato unaendelea kwa ajili ya Ujenzi wa Kiwanda cha kuchakata Mihogo hivyo nipotential area kwa sasa!
Bei kwa eka?karibu morogoro mashamba yapo meng sana
Kiteto, njombe,songwe, rukwa karibu
Nimetoka huko, uko sawa kabisa heka haizidi laki na shamba unakuta halipo mbali na barabara
karibu morogoro mashamba yapo meng sana
IRINGA - mashamba y'a kupanda mitiHabari wadau wa kilimo kwa hapa nchini ni maeneo gani naweza kupata maeneo yanayouzwa kwa bei ndogo namaanisha heka kwa laki moja