Mashamba makubwa yanauzwa Morogoro

Mashamba makubwa yanauzwa Morogoro

Nyamburi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
306
Reaction score
37
Mashamba yanauzwa mkoani Morogoro maeneo ya Msowelo katika wilaya ya Kilosa!jumla ya heka ziko 60 na bei kwa heka ni Tsh 310,000/= (laki tatu na kumi) ,maelewano yapo pia!yanafaa kwa kilimo cha mahindi,ufuta,alizeti etc!pia kuna heka kumi zinazofaa kwa kilimo cha umuagiliaji maji kwa mazao kama pilipili hoho,nyanya maji,nyanya chungu,pili pili mbuzi,mboga mboga etc,hizi zinauzwa kwa 370,000/= (laki tatu na sabini) kwa heka na maelewano yapo!
 
Am interested nataka kujua chanzo cha maji kilichopo hapo kw ajili ya umwagiliaji na nikipata namba yako PM nitashkuru ndugu
 
du ngoja nitafute posho japo nipate heka mbili
 
Am interested nataka kujua chanzo cha maji kilichopo hapo kw ajili ya umwagiliaji na nikipata namba yako PM nitashkuru ndugu

Naku PM mkuu,chanzo cha maji ni mto Msowelo ambao ni moja ya vyanzo vinavyotengeneza mto wami,mto huu haukauki mwaka mzima
 
Nashauri kila mtu awekeze kwao wa pwani awekeze pwani wa mbeya awekewe mbeya vita ya dini inayokuja ni mbaya sana..
 
Heka 60 tu? Uliposema kubwa nilifikiri kuanzia 120
 
Nielekeze hilo shamba lipo location gani kwani hata mimi nipo hapahapa msowelo. Hapa hospitali.
 
Mashamba yapo kijijini Msowelo,na kwenye kijiji cha Makobwe pia

Kiongozi hizo heka 60 za Msowelo kijijini ziko umbali gani na barabara kuu ya Kilosa inayowekwa lami?
 
Kiongozi hizo heka 60 za Msowelo kijijini ziko umbali gani na barabara kuu ya Kilosa inayowekwa lami?

Mkuu hizi 60 zipo pembezoni kabisa na barabara ya Kilosa hiyo inayowekwa lami,zinafaa kwa kila kitu,kilimo,ujenzi etc!
 
ila nimekupata wewe shamba lako nadhani lipo yale maeneo wanayochimba madini makobwe na ndiko zinakotoka mbao.vipi hakuna mgogoro wowote ule,maana huko ndiko wafugaji wanakokimbilia kwa sasa.
 
ila nimekupata wewe shamba lako nadhani lipo yale maeneo wanayochimba madini makobwe na ndiko zinakotoka mbao.vipi hakuna mgogoro wowote ule,maana huko ndiko wafugaji wanakokimbilia kwa sasa.

Wanakochimba madini ni tofauti na huku kwenye ilo shamba mkuu!mgogoro wa wafugaji sijawahi kusikia tokea nikae huku,mashamba yapo mawili,moja lipo Mkobwe na lingine Msowelo barabara kuu ya Kilosa
 
Wanakochimba madini ni tofauti na huku kwenye ilo shamba mkuu!mgogoro wa wafugaji sijawahi kusikia tokea nikae huku,mashamba yapo mawili,moja lipo Mkobwe na lingine Msowelo barabara kuu ya Kilosa
barabara kuu ya kilosa ni kubwa,wapi hapo,makuluwili,mambegwa,mvumi,ni wapi hilo shamba la pili lipo,mimi nataka hilo shamba la pili
 
Mkuu hizi 60 zipo pembezoni kabisa na barabara ya Kilosa hiyo inayowekwa lami,zinafaa kwa kila kitu,kilimo,ujenzi etc!
NA kama nataka kuchukua ekari kadhaa inakuaje???
 
Back
Top Bottom