Mimi sio niliosema hizo inchi 40, matusi yako hayabadili ukwell wa wataalam ; puuzia ushauri wao hapo ndio utatambua nani ni idiot kati yangu na wewe bwege mwenye kitambi kama una mimba!
Mimi sio niliosema hizo inchi 40, matusi yako hayabadili ukwell wa wataalam ; puuzia ushauri wao hapo ndio utatambua nani ni idiot kati yangu na wewe bwege !
Mtaa wa Agrey ndipo zipokuwa ofisi za magazeti yake ya risasi, cheka na amani kabla hayo magazeti hayajachukuliwa na shigongo, huyu jamaa nilimfahamia hapo nilipokuwa napeleka michoro yangu kwenye magazeti yake. Mwamba umetoka, R.I.P
Mashaka Matongo (Abiola) makazi yake ilikuwa Yombo kwa Abiola amefariki leo mchana katika hospitali ya Temeke jijini Dar-es-salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Baadhi humu wanamfahamu aliwahi kuigiza kwa muda mfupi katika kikundi cha Kaole mwishoni mwa miaka ya 1990 huku akijishughulisha na biashara ya magazeti pamoja na akina Eric Shigongo mbunge.