OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Niwaombeni mashabiki wote wa vyama vinavyotengeneza ukawa tuwe makini sna,Ccm wanachokifanya wametuma vijana wao humu ndani jf kwa kuleta propaganda zinazo muhusu slaa,vijana hao wameelekezwa kuanzisha nyuzi ambazo zinachokonoa na kuchochoea chuki kwa slaa dhidi ya wananchi,hii n propaganda inayotumiwa na ccm na kuamnisha umma slaa amejiuzulu bila kuwa makini tutakuwa tunacheza ngoma za ccm bila kujijuwa,na hii wameefanya makusudi kabsa baada ya kuona magufuli kafunikwa hata hasikiki tena.kazi hiyo inafanywa kwa umakini sna huku wazee wa kitengo wakitajwa kuwa nyuma ya huu mpango,suala la dr slaa halijawa gumu kiasi hicho kama nyuzi zinavyomzungumzia humu.Hivyo basi niwaombe waumini wote na wafuasi wa ukawa kuwaa makini na uzi wowote unaoanzishwa humu ndani na magamba unahusiana na slaa.Na mkitaka kuamini angalieni id nyingi zinazo anzisha uzi wa dr slaa zimefunguliwa hivi karbuni kimkakati mtagunduwa