Mashabiki waruka na Rayvan kuhusu kudandia Remix

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,144
27,112
Huyu jamaa imekuwa kawaida kwake sasa kila akiona ngoma ipo trend basi ataidandia na kuforce remix.

Sasa hivi majuzi baada ya kudandia wimbo wa Dayoo unaitwa Huu mwaka, raia wakamkalia kooni kwamba toka atoke WCB ni kama kapoteana, hivyo inambidi aende na upepo.

Kinachoshangaza zaidi jamaa ni kama kajaa upepo, maana kule insta ni mwendo wa kujitetea tu kwamba anasupport madogo,lakini watu bado wanahoji kwanini asiwasupport kwa ngoma mpya na sio kusubiri ngoma zihit yeye ndo adandie.

Ikafika muda kila comment ya shabiki akawa anaijibu, hapa ndo nilipogundua kwamba jamaa hana huo ukubwa anaojivika kwenye huu muziki!
 
Ila Ray vanny kazidi kila nyimbo ya msanii mdogo iki trend tu yeye fasta anaomba remix

Mpaka nyimbo za wanakwaya anaomba remix..

1. Upo single ya zablon singers ray vanny kaomba remix

2. Misso Missondo DJ. Ray vanny kaomba remix

3. Dayoo huu mwaka ray vanny kaomba remix

4. Mavocali ray vanny kaomba remix
 
Laiti ungeijua biashara ya muziki inavyokwenda, usingeandika hichi ulichoandika!....

Michael Jackson alipoomba remix ya 🎶Hold my hand kwa Akon mwaka 2008...

Alikuwa anapungukiwa nini kimuziki!?... Ama ile ngoma ilikua inamuongezea nini!? Ambacho hana kwenye muziki!?

Muziki ni vibe mzee.. biashara ya muziki haiko kama unavyofikiria..
 
Inaelekea amebakisha sikio la kutambua mziki mzuri tu that's anaonyesha hisia zake kwa kuomba remix ila kichwa cha kutengeneza vitu vizuri kimeyayuka, Kama vipi awe tu Manager/Promotor nk.
 
Laiti ungeijua biashara ya muziki inavyokwenda, usingeandika hichi ulichoandika!....

Michael Jackson alipoomba remix ya 🎶Hold my hand kwa Akon mwaka 2008...

Alikuwa anapungukiwa nini kimuziki!?... Ama ile ngoma ilikua inamuongezea nini!? Ambacho hana kwenye muziki!?

Muziki ni vibe mzee.. biashara ya muziki haiko kama unavyofikiria..

Kuomba sio dhambi. Ila sio kila wimbo uombe wewe tu

Diamond anafanyaga sana remix. Ila mara moja moja tena na wasanii wa nje.

Huwezi kuta diamond anaomba remix nyimbo local. Tena kila wimbo..

Ndani ya Mwezi mmoja ray vanny kaomba remix nyimbo zaidi ya moja. Tena zote za chipukizi.

Angewaacha madogo hit song zao zitembee . Maana zimeshaeleweka
 
Hamna msanii pale , WCB ilikuwa inambeba ,
WCB inambeba mondi peke yake, hawa wengine wakitoka hawana pa kwenda wala kujisimamia wenyewe hawawezi, Harmonize katoka ila lebo yake hamna kitu, rayvanny mwenyewe hiyo next level ilizinduliwa kwa mbwembwe ila hamna lolote
 
Lakini mnyakyusa alitoa bilioni 1.5 kutoka kwenye leble .

Bongo ili utoboe kisanii inafaa msanii.
 
Mimi kama mimi mr pipa aka nabii wenu tajiri sion kama kuna shida coz ila same tumezoea kuona watz kuongea ongea unafiki mwingi rayvan kama upo hapa njoo pm/privet masseg nikushaul kitu
 
Back
Top Bottom