Bado hujaelewa, mashabiki wa Simba muda huu wapo kwenye shughuli zao za maendeleo, wewe unawawaza mpaka umefungua thread hapa!?,nani anayehangaika na mwenzake kati yako na wao!?,ni kama unateseka na ushabiki wao. Ila mara nyingi ni dalili za mtu kutokuwa bize.Ndomana tunasema mashabiki wa simba ni makolo
Hili ndio jibu la swali nililokuuliza?Ligi kuu ya jamuhuri ya muungano wakati huo, hiyo ni baada ya makolo kufungwa mechi tatu mfululizo zilizopita
Mlala hoi shuguli zako ni pulukushani, usiforce tufanane. Ila mbona kama kuna makasiriko ndugu au ni koloBado hujaelewa, mashabiki wa Simba muda huu wapo kwenye shughuli zao za maendeleo, wewe unawawaza mpaka umefungua thread hapa!?,nani anayehangaika na mwenzake kati yako na wao!?,ni kama unateseka na ushabiki wao. Ila mara nyingi ni dalili za mtu kutokuwa bize.
Aisee wewe ni mwanaume kweli???
Baba wa Familia????
KUWA N
Bila shaka ww ni ke, wanaume tunajenga hoja kuhusu masuala ya mwenendo wa makolo, jibu iyo hoja au unahitaji kua mwanafamilia, mimi mke tayari ninae jadili mada sihitaji mke wa piliAisee wewe ni mwanaume kweli???
Baba wa Familia????
KUWA NA WANAUME KAMA WEWE NI HASARA KWA TAIFA.
Sio kila mada lazima uchangie, unaweza pita kimya kama imekuumaMWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.
UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.
tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.
Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.
Amina Tena Amina Amina Tena amina
UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE