Mashabiki wa mpira waislamu kwenye mitandao ya kijamii wameonywa kuandika R.I.P Diogo Jota kwani ni dhambi

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,310
Reaction score
4,206
Mashabiki wa mpira waislamu wameonywa na kutahadharishwa kwenye mitandao ya kijamii kutuma ujumbe wa maandishi R.I.P Diogo Jota kwani ni dhambi na kinyume na mafundisho ya kiislam kwasababu Diogo Jota ni kafiri. Muislam hatakiwi kufanya dua Kwa kafir.

Diogo Jota 28 kiungo mshambuliaji wa klabu ya mpira Liverpool na Ureno alikufa pamoja na mdogo wake kwenye ajali mbaya ya gari wiki iliyopita.

Wapenzi wengi wa mpira wamekuwa wakimuenzi kwenye mitandao ya kijamii Kwa kuweka picha Yake na kuandika R.I.P.

Pia wamemkumbusha Mshambuliaji wa PSG Osmane Dembele akifunga goli leo usiku asujudu badala ya kukaa nakukunja miguu akicheza gemu kama ishara ya kumuenzi Diogo Jota ambayo ni kinyume na dini kwasababu yeye ni muislam.
Screenshot_2025-07-09-20-30-08-23_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg

PSG itacheza Leo usiku dhidi ya Real Madrid FCWC mechi Kali.

Source Tiktok video hapo Chini.

View: https://vm.tiktok.com/ZNd5SJ3My/

adriz Farolito MIN-me
 
Mashabiki wa mpira waislamu wameonywa na kutahadharishwa kwenye mitandao ya kijamii kutuma ujumbe wa maandishi R.I.P Diogo Jota kwani ni dhambi na kinyume na Sheria za kiislam kwasababu Diogo Jota ni kafiri. Muislam hatakiwi kufanya dua Kwa kafir.

Diogo Jota 28 kiungo mshambuliaji wa klabu ya mpira Liverpool na Ureno alikufa pamoja na mdogo kwenye ajali mbaya ya Gari wiki iliyopita.

Wapenzi wengi wa mpira wamekuwa wakimuenzi kwenye mitandao ya kijamii Kwa kuweka picha Yake na kuandika R.I.P.

Pia wamemkumbusha Mshambuliaji wa PSG Osmane Dembele akifunga goli leo usiku asujudu badala ya kukaa nakukunja miguu akicheza gemu kama ishara ya kumuenzi Diogo Jota ambayo ni kinyume na dini kwasababu yeye ni muislam.
View attachment 3399714

PSG itacheza Leo usiku dhidi ya Real Madrid FCWC mechi Kali.

Source Tiktok video hapo Chini.

View: https://vm.tiktok.com/ZNd5SJ3My/

adriz Farolito @chaliifrans MIN-me

mungu wenu amekosa kazi nawaonea huruma
 
Mashabiki wa mpira waislamu wameonywa na kutahadharishwa kwenye mitandao ya kijamii kutuma ujumbe wa maandishi R.I.P Diogo Jota kwani ni dhambi na kinyume na mafundisho ya kiislam kwasababu Diogo Jota ni kafiri. Muislam hatakiwi kufanya dua Kwa kafir.

Diogo Jota 28 kiungo mshambuliaji wa klabu ya mpira Liverpool na Ureno alikufa pamoja na mdogo wake kwenye ajali mbaya ya gari wiki iliyopita.

Wapenzi wengi wa mpira wamekuwa wakimuenzi kwenye mitandao ya kijamii Kwa kuweka picha Yake na kuandika R.I.P.

Pia wamemkumbusha Mshambuliaji wa PSG Osmane Dembele akifunga goli leo usiku asujudu badala ya kukaa nakukunja miguu akicheza gemu kama ishara ya kumuenzi Diogo Jota ambayo ni kinyume na dini kwasababu yeye ni muislam.
View attachment 3399714

PSG itacheza Leo usiku dhidi ya Real Madrid FCWC mechi Kali.

Source Tiktok video hapo Chini.

View: https://vm.tiktok.com/ZNd5SJ3My/

adriz Farolito MIN-me

Kubazz again....
 
Hizi dini ni uchizi mtupu. Mtu anakuambia usimfanyie dua kuffar wakati hapo hapo anaongea lugha ya kuffar.

Mkaldayo wewe ni Kufaarrrrrrr Kafirrrrrr
 
Huyo ndo adriz mgerasi mwenyewe. Yote Kwa yote tuna imam Hussain ibn Ali aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya uonevu, ukandamizaji na dhulma.

Mcheki mwamba hapo chin

Screenshot_2025-07-09-18-01-08-90_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
 
Duh aiseee na hapo walikua wanamsubiri kwa hamu Salah atakavyoupost msiba huu
 
Pia tusijue kusoma na kuandika kwa kuwa ni sunna ya mtume Muhamad s.a.w.
 
Back
Top Bottom