Mashabiki wa MAN U MNAHAMIA WAPI JAMAN

Mashabiki wa MAN U MNAHAMIA WAPI JAMAN

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,877
NiNGEKUWA MUIMBAJI. NINGEWAWEKEA WIMBO WA MSIKATE TAMAA AMININI MUNGUNYUPO

KWA WANAOSUBIRI MATOKEOA

SWAN......2

MAN U...1
 
Mbona mashabiki wa Liverpool na Arsenal hawakuhama? Tutaazima nyoyo ngumu za mashabiki wa Arsenal.
 
una meneno....... makavu live kama jot !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kombe la mbuzi hilo ndo maana mara nying timu kubwa huwa zinatolewa km huamini subiri
 
Si kweli hili wala si kombe la mbuzi. Kombe la mbuzi ni la jumanne ambalo Moyez ameamua kuwekeza ili kuwaghilibu mashabiki na wapenzi wa Man UTD kwa kuchezesha leo kikosi cha pili huku akijua wazi ameweka record mbaya na mbaya kabisa ya mechi za nyumbani.

Kwenye soka huwezi kulikana kabila lako au huwezi sema kuanzia leo mimi ni mhindi wakati ulikuwa mzigua.

Ila kama ni nyumba imekamilika ikiwa na mtaji wa mashabiki wanaokaribia bilioni moja duniani. ni swala tu la hawa wawekezaji 'uchwara' kutoka marekani waondoke waingie watu na fedha zao.
 
poleni ndo vipigo vinauma hivyo...sisi arsenal tumezoea
 
Dr.mo arsenal tupo poa bana now days hatushikiki kabisa
 
Ni kweli wakuhama walikuwa wa Arsenal cye tuhame kwa msimu 1???
 
NiNGEKUWA MUIMBAJI. NINGEWAWEKEA WIMBO WA MSIKATE TAMAA AMININI MUNGUNYUPO

KWA WANAOSUBIRI MATOKEOA

SWAN......2

MAN U...1

UTD bila Ferguson ni sawa na mmasai bila ya mkuki. Lkn mpeni muda Dave Moyes. Still long way to go.
 
kombe la mbuzi hilo ndo maana mara nying timu kubwa huwa zinatolewa km huamini subiri

Kombe lipi la mbuzi? Hata PL UTD wapo vibaya tu. They have already lost 4 matches at home.
 
kombe la mbuzi hilo ndo maana mara nying timu kubwa huwa zinatolewa km huamini subiri

na epl nalo kombe la mbuzi? maana mpo nafac ya 7 huku timu kubwa zikiwa zinakabana koo top 4
 
Back
Top Bottom