Mashabiki wa Man Six mpooo............

kila kitu kinawezekana banaaaaaaaa!hela za mwarabu zinajibu sasa..................
 
Wananyodo sana na kujiona hakuna mpinzani. Aswa Evra. Fergie alisema , Man city mje tu mpate kipigo chenu, akajisahau kuwa , Mancity ndiyo timu iliyospend most kwenye usajili.
Hahaa. Pole mwenetu.

Wanachukiwa sana kwa kuwa wanaadhibu wote wenye vidomodomo kama vile wewe ARSE8 na wengine, huwa hadili na hizi timu ambazo ziko cool ndo maana huwa anapoteza, nyie ARSE8 kipondo chenu kwa return leg kiko palepale, tena this time mtakula 16 kwa hasira tulizo nazo!
 
Wewe c shabiki wa liva, ni wa arse8! Mashabiki wengi wa arsenane wanajificha kwa liva na chelsea kipindi hiki, utawajuwa tu pale man ubingwa wakipoteza mechi, hii haiwasaidii kamwe, vipigo kwenu kutoka kwa man ubingwa vitaendelea tu kama mgao wa umeme bongo, tumewakodi nyie, kudadadeki!
 
man u.jpg
aisee.......
 
Hawa Man huwa wanachonga sana afadhari wamefungwa midomo

Huwezi kuwafunga mdomo MAN UBINGWA, kwa kuwa yakuongea wanayo, wa arsenal na chelsea wataongea kitu gani? The CHAMP19NS! Yeah! need I say more?
 
Hapa kitaa sisi mashabiki wa Liverpool, tulitoa kreti 3 za soda. kusheherekea

Kwenye red, unadanganya watu, wewe ni ARSENANE mteja wetu wa kudumu, mtaendelea kutuachia points kama madini ya bongo na wazungu!
 
Hivi kwanini mashabiki wa timu zote wanaichukia manchesita?

Ni mbabe wao, CHAMP19NS, Being a champion many times than any team in English Premier League, famous, popular world wide. wivu c unajuwa tena kila binadamu kaumbwa na kinyongo, habari ndo hiyo mkuu, nina imani una li prove hilo kwenye nafsi yako sasa hivi, sure, more than 100%!
 
dah umeweka mfano hovyo kweli, pole kwa kuwa frustrated... sasa yupi atakua demu wangu hapo, asenane, ma-sista au mancity??

hebu pata za uso hapo toka kwa mbaraka mwishehe

View attachment 39844

Hakuna frustration hapa mkuu, timu yetu bado iko bomba hiyo ni marathon bana, wenyewe tumezoea mwisho wa siku ni kicheko upande wetu kama kawa!
 
Hapa kitaa sisi mashabiki wa Liverpool, tulitoa kreti 3 za soda. kusheherekea

Hongereni sana wazee wa Merseyside a.k.a The Kop najua record yenu sio mbaya lakini mna safari ndefu ya kuzirudisha enzi za Bill Shankly
18 league titles (Manure 19)
5-time UEFA Champions league winners (Manure 3)
 
Back
Top Bottom