Mashabiki wa Lowassa, mmeyafikiria haya?

Mashabiki wa Lowassa, mmeyafikiria haya?

hakuna mabadiko chin ya lowasa ila ni tamaa ya madalaka watanzania tuwen makni sana
 
andiko hili limenifanya nianze kutafakari upya juu ya kuendelea kumuunga mkono LOWASA!!!
 
namsfu sana Dr.slaa nisawa na muamar gadaf leo ukawa tumemona hafai ila najua tutamkumbuka tu kama ukawa tungelikuwa kama yeye hakka naamin mabadilko ya kweli tungeyapata bila waswas pia sion tatzo ss ukawa kumpokea lowasa maana hii huwa ni hali ya kawaida ila tatizo ni kumpa nafas kubwa kias hicho ndan ya chama wakat hakumaliza hata mwez ndan ya chama yaan hii ijizhilisha waz hatuna nia ya mabadiliko ila tunasumbuliwa na tamaa ya madalaka tu. ni bora tu kumsapot pombe"
 
  • Thanks
Reactions: nao
Ukawa wanatuaminisha kwa kupima kina cha maji kwa kuyaangalia bravo!!!
 
mkulimawakiteto umeleta makala ndeeefu sana. Pengine ina substance lakini watanzania kwa sasa hata angesimakishwa jiwe kupitia UKAWA angepita. Wamechoka. Lowassa ni Malango wa kutokea kwa kuwa tuna amini ana wafuasi wengi SSM na watampigia kura then unaweka wa UKAWA. So kuna mileage katika upinzani. Hapa hata mtu aje na shutuma gani zinapita sikio la kulia zinatokea la kushoto. Wanasema watu wameikifu SSM na uongo wao mpaka watoto wadogo mtaani wanaongelea hilo. This is too much.
 
Last edited by a moderator:
Lowasa katoka CCM na yuko CDM(UKAWA) huku kuna watu tofauti na mfumo tofauti kiuhalisia yeyote yule atakayegombea kupitia CCM hata awe na bidii vipi hawezi kulikwamua taifa hili na umasikini tulionao kwani tatizo ni mfumo na waliopo huko mfano hai ni jinsi Kikwete alivyobadili mara kadhaa balaza la mawaziri lakini tatizo lilibaki palepale had I anaondoka hajafanikiwa kuwa na baraza bora la mawaziri.

Chadema ni chama kichanga hakina uzoefu wa kuongoza dola hata siku moja. Hivyo kwa miaka mitano ya kwanza wataharibu kuliko unavyofikiria. Kisha kimfumo CDM itarithi mfumo wa serikali ule ule. Kwa kuwa Chadema hawana watu wenye weledi wa kuongoza serikali watajifunzia hapo. Hapo ndipo wazoefu wakapowahujumu kwa kwenda mbele. Baada ya mwaka mmoja tu Edward hafai hata kwa kulumagia. Na tutatamani tuitishe uchaguzi tuiondoe hii serikali ya hovyo. Take it from me
 
Ukiwa kikojozi kwako hata ukienda kwa kulala kwa jirani utakojoa tu ingawa unaweza vumilia siku ya kwanza zinazofata uta
 
It doesn't matter if he will bring development but we want to show the world that Tanzania is not for CCM only it is for everyone
 
Chadema ni chama kichanga hakina uzoefu wa kuongoza dola hata siku moja. Hivyo kwa miaka mitano ya kwanza wataharibu kuliko unavyofikiria. Kisha kimfumo CDM itarithi mfumo wa serikali ule ule. Kwa kuwa Chadema hawana watu wenye weledi wa kuongoza serikali watajifunzia hapo. Hapo ndipo wazoefu wakapowahujumu kwa kwenda mbele. Baada ya mwaka mmoja tu Edward hafai hata kwa kulumagia. Na tutatamani tuitishe uchaguzi tuiondoe hii serikali ya hovyo. Take it from me

Hata mseme nini, this tym thithiem is out
 
nimeamini waTZ tuna IQ ndogo, zamani nikisikia watu wakisema hivyo nilikuwa nabisha na kutetea. hivi mtu akikaa akafikiria vizuri badala ya kushabikia hawezi kumpa kura Lowassa
 
Lowasa alifikiri anaweza kuubadilisha mfumo dhalimu wa CCM akiwa ndani ya mfumo huo, sasa amejua ukweli ndo maana kaja ukawa, watanzania msiwe na shaka naye. Lowasa sasa hana unafiki ndani yake
 
nimeamini waTZ tuna IQ ndogo, zamani nikisikia watu wakisema hivyo nilikuwa nabisha na kutetea. hivi mtu akikaa akafikiria vizuri badala ya kushabikia hawezi kumpa kura Lowassa
Sio muda wa kufikiria, ni muda wa mabadiliko. Lowasa katuonyesha kumbe kweli ssm haifai, tulikuwa tunahisihisi tu lakini tunaogopa kusema, mbadala haukuwepo. Kitendo cha ma ex-pm wawili kuhama ni dhahiri kabisa kuna tatizo kubwa sana ssm, waliobaki wanakosa tu ujasiri wa kusema au kuhama.

ssm wanajikita zaidi kwenye historia yao ya kuleta uhuru, lakini hawazingatii mahitaji ya kizazi kipya na karne mpya. Hata maana ya neno mapinduzi hatuielewi tena. Wanampindua nani?

Tunataka kuongozwa na chama chenye malengo yanayoendana na karne hii na mahitaji ya sasa.
Kwa mfano chadema maana yake inaeleweka wazi kabisa wanataka kutufanyia nini.

Bahati haiji mara mbili, chagua Lowasa sauti za watu zisikike tupate katiba mpya na demokrasia mpya. Baada ya hapo maendeleo ya watu yatakuja kwani tuna rasilimali za kutosha.
 
Lowasa katoka CCM na yuko CDM(UKAWA) huku kuna watu tofauti na mfumo tofauti kiuhalisia yeyote yule atakayegombea kupitia CCM hata awe na bidii vipi hawezi kulikwamua taifa hili na umasikini tulionao kwani tatizo ni mfumo na waliopo huko mfano hai ni jinsi Kikwete alivyobadili mara kadhaa balaza la mawaziri lakini tatizo lilibaki palepale had I anaondoka hajafanikiwa kuwa na baraza bora la mawaziri.

Mmeongea sana kuhusu mfumo, hebu tuoneshe kwa mifano dhahiri leo ni nini maana ya mfumo na labda unahusisha nini na nini na unaanzia wapi na kuishia wapi? tutashukuru ukitupa majibu hayo
 
Chadema ni chama kichanga hakina uzoefu wa kuongoza dola hata siku moja. Hivyo kwa miaka mitano ya kwanza wataharibu kuliko unavyofikiria. Kisha kimfumo CDM itarithi mfumo wa serikali ule ule. Kwa kuwa Chadema hawana watu wenye weledi wa kuongoza serikali watajifunzia hapo. Hapo ndipo wazoefu wakapowahujumu kwa kwenda mbele. Baada ya mwaka mmoja tu Edward hafai hata kwa kulumagia. Na tutatamani tuitishe uchaguzi tuiondoe hii serikali ya hovyo. Take it from me

Chama cha siasa ni sera na itikadi, sasa hata kwa kuwaangalia Ukawa na Lowasaa unashindwa kuelewa kama wote wanaamini katika sera na itikadi moja, kwamba wote wanayaangalia mambo kwa staili moja na msimamo wa aina moja ..kwamba ki ideolojia wote wamewiva katika aina moja, kwamba sera za Lowassa juu ya mambo mbalimbali ni sawa na ya chama cha CDM na kwamba wote wanaamini hivyo ..unajiuliza hawa tukiwapa nchi si tutaishia makutano junction kila mmoja aende na ya kwake mfukoni? kama serikali zinajaribiwa basi ni sawa lakini kama ni serikali imara, hatuwezi kupata serikali imara kutoka Ukawa hata kwa kubet, haipo.
 
Mwandishi katumwa. Anayefaidika na uwekezaji ni nani?
Ccm imezeeka haifanyi mapindunzi tena, ni propaganda tu na ufisadi.
Wananchi wanataka kufanya mapinduzi yao ya kisiasa, kiuchumi na kifikra.

Walimkata wenyewe wasubiri na wao kukatwa.
Hatudanganyiki awadanganye huku huko kaskazini pumbavu tena malofa kabisa.
 
It doesn't matter if he will bring development but we want to show the world that Tanzania is not for CCM only it is for everyone

Continue tht,,and u will show the underworld Tanzania is not for ccm only..wake up!!u are in Africa not Europe ..look around you...opposition members are often disgraced abused beaten and even killed..hoja hazina nafasi..the day is comin when ccm will be divided na huo ndio upendi wa wapinzani kuchukua dola...don't think wata surrender peacefully a country they fought for and plundered for years.....ccm will go down but not this year
 
Back
Top Bottom