Mashabiki wa EPL Nawakumbusha, msimu ujao Mnawakilishwa na Timu 3

Msigazi Mkulu

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
4,137
3,323
Mkae mkijua kama kesho Juve akimtoa Barca, Italia inachukua nafasi ya Uingereza katika nchi zinazotoa vilabu vinne UCL. So msimu ujao England itawakilishw na vilabu vitatu.

Hapo hamtakuwa tena mnapigania top 4 bali mtapigania top 3

Bora iwe hivyo maana mkienda huko ni aibu tupu huku mkisifia ligi yenu ni ngumu.
 
Kuna alama taifa linapewa, na ili taifa moja liwe juu ya jingine basi n sharti taifa la chini lipate alama za kutosha, Hata ikapita miaka minne, Uingereza iendelee kuharibu tuuuu bado Italy haitoifikia uingereza,
 
Italy kuongezewa nafasi hakuna impact kwenye ligi ya England,kwenye coefficient za UEFA Spain wanaongoza wakifuatia Germany then wanafuatia England na no 4 ndio Italy
 
Uefa walishabadili hicho kitu mwaka huu, kwa ajiri ya biashara, mwakan wote hadi italy wanapeleka timu nne
Walichobadili ni kwamba nchi zinazopeleka timu nne, timu ya nafasi ya nne haitaanzia kwenye knockout stage bali zitaenda moja kwa moja hadi kwenye makundi.
 
Mkae mkijua kama kesho Juve akimtoa Barca, Italia inachukua nafasi ya Uingereza katika nchi zinazotoa vilabu vinne UCL. So msimu ujao England itawakilishw na vilabu vitatu.

Hapo hamtakuwa tena mnapigania top 4 bali mtapigania top 3

Bora iwe hivyo maana mkienda huko ni aibu tupu huku mkisifia ligi yenu ni ngumu.
Acha kupotosha umma, hata juve wakichukua kombe haina athari yeyote epl,
Kigezo ni robo final hata hivyo wazee wa king power walitinga robo final
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Back
Top Bottom