Parachichi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2008
- 510
- 104
Umesahau...nanihii akijamba ukumbi unalipuka!Huu ukumbi kwa kulipuka, we acha tu Chenge akikohoa ukumbi unalipukaLowassa akibweka ukumbi unalipukaKikwete akicheka ukumbi unalipukaPinda akilia ukumbi unalipukaSita akipiga chafya ukumbi unalipukaMwakyembe akiguna ukumbi unalipukaKomba akikoroma ukumbi unalipukaCCM ikichafua hewa ukumbi unalipukaUkumbi kulipuka ? Cha ajabu nini !
kumbe ndugu umeona enhee jamaa anamsafisha kiana jamaa mara RC DSM mara Anakubalika we acha..Salimia na thread za Masha sijui unatumwa ndugu. Kila siku Masha mwambie akuchumbie kabisa.
Salimia siku zote lazima ujiulize makofi unayopigiwa na kushangiliwa, Je ni ya kushangiliwa kweli au ni ya kudhiakiwa na ya kinafiki?? Sababu as far as i know wabunge wengi wa CCM ni wanafiki.Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
hapana: mwishowe masha atalipuka mwenyewe huko hukoCha ajabu ni kwamba mwishowe na wewe unalipuka!!
Umenikuna Mkuu! Senkyuu sana!Huu ukumbi kwa kulipuka, we acha tu Chenge akikohoa ukumbi unalipukaLowassa akibweka ukumbi unalipukaKikwete akicheka ukumbi unalipukaPinda akilia ukumbi unalipukaSita akipiga chafya ukumbi unalipukaMwakyembe akiguna ukumbi unalipukaKomba akikoroma ukumbi unalipukaCCM ikichafua hewa ukumbi unalipukaUkumbi kulipuka ? Cha ajabu nini !
mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
Haa haaa haaaa uuuuuuuuuwiii mbavu zangu jamani!Huu ukumbi kwa kulipuka, we acha tu
Chenge akikohoa ukumbi unalipuka
Lowassa akibweka ukumbi unalipuka
Kikwete akicheka ukumbi unalipuka
Pinda akilia ukumbi unalipuka
Sita akipiga chafya ukumbi unalipuka
Mwakyembe akiguna ukumbi unalipuka
Komba akikoroma ukumbi unalipuka
CCM ikichafua hewa ukumbi unalipuka
Ukumbi kulipuka ? Cha ajabu nini !
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
hivi ameoa? namtafuta kweli aisee kama una contact zake unipe au kama yupo humu ani pmMh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa