Masela wasome hii watapata kitu

huyo jamaa sio msela

Masela hatuwapi wanawake wasio waaminifu nafasi ya kuondoka tukiwa hatupo

Lazima tuwepo na akishaondoka kufuri tunaweka jipya

Mwizi wa mapenzi moja kwa moja anaweza kuwa mwizi wa vitu vingine pia
 
Katika haya maisha sisi ndio tunaamua ni kitu gani kitupe stress na kitu gani kisitupe stress.

Ukiwa na uwezo wa kudogosha kila tatizo kubwa basi u me win stress
 
Single moms ni kama viwanja vyenye mgogoro.
 
Sijaelewa
Anapitia wkt mgumu kwa kukimbiwa na malaya?
 
Amemtolea mahari? Yaani amemuoa au wanaishi pamoja tu? Kama hawajaoana, amteme huyo mwanamke haraka, kosa kubwa tunalofanyaga wanaume ni kumsamehe mwanamke mjinga na kuamini atabadilika.
 
Jamaa ampotezee apambane kwa kasi zaidi ya mwanzo ,yawezekana alikwepeshwa na jambo kubwa ,mwache aende vitu hutafutwa tu.
 
Amemtolea mahari? Yaani amemuoa au wanaishi pamoja tu? Kama hawajaoana, amteme huyo mwanamke haraka, kosa kubwa tunalofanyaga wanaume ni kumsamehe mwanamke mjinga na kuamini atabadilika.
1. Kwahiyo akitolewa mahari ndio anaacha umalaya?

2. Kwani kuoa na kuishi pamoja what a difference?
 
Huyo mwanamke atakuja kukuomba msamaha, mrudiane. Baada ya huyo mzazi mwenzie kumfukuza. Nawe utamsamehe ulivyo mdhaifu
 
Oya, anachanganya pale anapokwambia eti mtoto anakupenda🤣 ukiangalia mtoto anapenda kula tu
 
MBON KAMA IMERUDIWA HII,NISHAWAI KUISOMA HII HUMU HUMU
 
Tatizo hamshauriki, MWANAMKE MWENYE MTOTO MUOGOPE KAMA UKOMA. HAO NI KULA NA KUTEMBEA TU. AKILETA MASWALA YA MTOTO UNAKUWA MKALI SANA.
 
Single mother ni hatari sana Nina mengi ya kusema kuhusu single mother ila we acha tu wanaume wenzangu mwanamke akishazalishwq na akaachwa hafai Tena kuolewa narudia Tena mwanamke aliyezalishwa na kuachwa hafai kuolewa , mwenye kusikia na asikie msije kusema hamkuambiwa
 
Aisee.
 
Nanukuu "kaambiwa hata mtoto siyo wake" yaani walikuwa wakijuwa ila walikuwa wakimchora tu na huduma anatoa! Ndiyo maana matukio ya mauaji yanazidi kuongezeka kila kukicha, wanawake wengi ni wezi na matapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…