No CHADEMA no Tanzania .Chama cha Demokrasia na Maendeleo wilaya ya Masasi kimeanza kupata mafanikio makubwa baada ya wananchi hasa waishio vijijini kuanza kujiunga na chama.
Taarifa kutoka ndani ya chama hicho zinasema tayari baadhi ya kata zimekamilisha chaguzi zake kwa ngazi za msingi,kutokana na mafanikio hayo chama sasa kinaweza kufanya mikutano ya kujenga chama mara tatu kwa wiki pia imebainika kuwa ndani ya masasi hamna chama kinachofanya shughuli za siasa isipokuwa CHADEMA tu.
Hii inapelekea chama hicho kuonekana ndicho chama pekee ndani ya Masasi kilichokuwa karibu sana na wananchi
Chama cha Demokrasia na Maendeleo wilaya ya Masasi kimeanza kupata mafanikio makubwa baada ya wananchi hasa waishio vijijini kuanza kujiunga na chama.
Taarifa kutoka ndani ya chama hicho zinasema tayari baadhi ya kata zimekamilisha chaguzi zake kwa ngazi za msingi,kutokana na mafanikio hayo chama sasa kinaweza kufanya mikutano ya kujenga chama mara tatu kwa wiki pia imebainika kuwa ndani ya masasi hamna chama kinachofanya shughuli za siasa isipokuwa CHADEMA tu.
Hii inapelekea chama hicho kuonekana ndicho chama pekee ndani ya Masasi kilichokuwa karibu sana na wananchi
acha uwongo we chavi! wengine ndo maskani uko! kajipange upya
Kama mara yako ya mwisho kuja Masasi ilikuwa Kabla ya June, umechemka. M4C huku ni moto wa kuotea mbali...Masasi watu wamebadilika sana kimtazamo! Chini ya viongozi makini ngazi zote, M4C inakimbiza mbaya. Hamia kwa makamanda we gamba, chelewa chelewa utakuta mwana si wako!acha uwongo we chavi! wengine ndo maskani uko! kajipange upya