Nimelisikia hilo nitalifikisha mahali husikaMassage unaboa, hiyo ni taarifa ya habari sio michezo. Unapaswa kuongea in summary tu, Ku sumup taarifa ya habari. Sio wote ni wanamichezo. Sasa baada ya habari, mnajadili kama spoti leo. Please jirekebisha, unaboa. Na siyo Mara moja
Swali mubasharaMkuu hauna remote control?
Naona umekuja kujiteteaMassage ndio nini
hapana ni majina tu yanafananaNaona umekuja kujitetea
Asante.Nimelisikia hilo nitalifikisha mahali husika
Haya, nimekusikia mkuuHujalazimishwa kumwangalia
PoaHaya, nimekusikia mkuu
Huwa napenda sana ITV, sipendagi kubadilisha channel sana. Mkuu, hujui hii ni super brand?Mkuu hauna remote control?
Sasa sisi so ndio watazamaji? Au nimekosea mkuu kutoa maoni?Wananchi wa hii nchi sijui mkoje?? Hivi kwani umemuajiri wewe???? Acheni mambo ya kipumbavu buanaaa
Matusi ya mini mkuu? Ungeeleza bila matusi ungeelewaka tu mkuu. Usiku mwemaAcha usengerema, maelezo aloyatoa alikuwa anahojiwa na msomaji wa taarifa ya habari Mara baada ya Massare kumaliza kusoma habari.
Yaani, hiyo channel sikumbuki Mara ya mwisho niliangalia lini?Angalia TBC