Masanja Mkandamizaji punguza show off na kujipendekeza unaboa, utumishi wako unatupa mashaka

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,150
11,196
Anajiita mchungaji huko instagram na kanisa lake nadhani ni la mtandaoni, siku za hivi karibuni jamaa ameanza kujipendekeza kwa watawala hadi anaboa, mpaka waumini wake wa huko instagram tumeanza kuhisi labda ana biashara zake hivyo sifa na mapambio ni kuwaziba macho watawala



Huyu kama mtumishi alitakiwa ajue kuwa hata kwenye Biblia imetufundisha kutenda haki, ukiiangalia hiyo video utajua jamaa huenda kichwa chake kina shoti au ana magendo yake ndio maana kashajua uwamu hii ukifanya mapambio tu basi utapeta, na anajiita mtumishi.
 
Masanja hata mimi najua ni mchekeshaji lakini siyo mgosha bali najua ni mtu wa huko nyanda za Juu Kusini
 
Huyu muhuni tuu, anajua anachofanya na role models wake ni mapacha wa kenya ndio waliomvuta huko, lavish lifestyle kwa kuhubiri... 2012, nilimsikia kwa masikio yangu mawili pale leaders club mda wa lunch na kama ana kumbukumbu na yuko atafahamu maana nilim challenge hana wito wa kuhubiri ana wito wa kutajirika
 
Anajiita mchungaji huko instagram na kanisa lake nadhani ni la mtandaoni, siku za hivi karibuni jamaa ameanza kujipendekeza kwa watawala hadi anaboa, mpaka waumini wake wa huko instagram tumeanza kuhisi labda ana biashara zake hivyo sifa na mapambio ni kuwaziba macho watawala



Huyu kama mtumishi alitakiwa ajue kuwa hata kwenye Biblia imetufundisha kutenda haki, ukiiangalia hiyo video utajua jamaa huenda kichwa chake kina shoti au ana magendo yake ndio maana kashajua utawala huu ukifanya mapambio tu basi utapeta, na anajiita mtumishi.

Umeshikiwa na mtu gobore kichwani umfuatie?
 
Jamaa hajawahi kuwa Msukuma anatokea kule Mbeya alikosemaga Jamaa "tunaishukuru serikali kwa kutuletea kupatwa kwa jua hapa Mbarali mbeya tunaomba itukumbuke na wakati ujao"
Oh! Sikujua hilo! Ahsante kwa taarifa. Jamaa mshamba.
 
kila mmoja ana mawazo yake lakini mimi najua masanja ni mchekeshaji tu,na hicho ndiyo kipaji chake.Huo utumishi kwangu mi naona hapana
Yeah hapo umeeleweka masanja ni mchekeshaj ilo la kusema mtumish labda kama ni mtumish wa mtu au serikali... Nijuavyo mm hakuna mtumish anayehubir neno la mungu alaf anafanya utani na lile neno analolitoa
 
Back
Top Bottom