nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,769
Ni muda abiria wanaingia au kushukaHili shirika linaendeshwa kwa hasara sana yaani watu hata sita hawafiki dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini kuzima simu wakati unaweza kuiweka katika flight mode na ukaendelea kuselfika,,Mara nyingi simu huzimwa ikiwa angani.
Ndege za zamani izoMara nyingi simu huzimwa ikiwa angani.
Kwanini kuzima simu wakati unaweza kuiweka katika flight mode na ukaendelea kuselfika,,
Hawana hata hiyo theluthiHuyo kawahi kuingia tu akajiselfisha
Utairusha hiyo ndege tupu namna hiyo? Muwe mnatumia hata theluthi moja ya ubongo wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani unapiga selfie huku unacheeka na ji dege lipo wazi kabisa,viti vitupuuuuu,yule flight attendant na yeye ana smile tu ,aisee inasikitisha,ulishindwa kupiga selfie kwa kujigeuzia kwenye kioo au kule nyuma chooni?
Huku ni kukosa uzalendo na kuitukanisha nchi yetu,nalaani sana kitendo hiki, ATCL mumpige marufuku huyu jamaa maana kuna uwezekano katumwa na yale mabeberu ya kanisa kuchafua jina lenu lilitukuka kimataifa na kitaifaView attachment 1039222
Route ya mby jamaa wa fast jet ilikuwa tkt kawaida laki imezid sana laki na nusu! Sasa tokea wawafukuze limekuja hili air tz! Aisee nauli 370000 na mda wote wanakwambia imejaa! Fast jet walifanya hadi route 3 kwa siku mby to dar, lkn hawa jamaa iko route moja per day! Ukienda kwenye website yao leo uliza tkt ya keshokutwa wanakwambia imejaa ya kesho yake unaambiwa 370000 baada ya siku tatu ukija kuangalia unaona ile uliyoambiwa ya jana ya 370000 iliuzwa kwa 250000 unabaki unashangaa!
ALIKUWA ANAENDA MOSHI KWA HIYO ILIKUWA NI TRIP YA KIA.KAKOSA UZALENDO SANAMTOA MADA WEWE NDIO HUNA UZALENDO NA NCHI YAKO KWANZA UNAJUA HUYU MSHAMBA MASANJA ALIPIGA PICHA MDA GANI MIMK NILIKUWEPO NDEGE IMETUA NA ABIRIA WAMETEREMKA WOTE YEYE KABAKI NYUMA AKAJIPIGA PICHA HUWA KAWAIDA YAKE UTAMUONA AKIJA AIR PORT YA MWANZA NA TUVISICHANA WAKATI AKIONDOKA WANAMSINDIKIZA BASI SI PICHA HIZO MPAKA UNAKEREKA USHAMBA HAUNA MASKINI AU TAJIRI
Nchi imepataje shida hapo?rais alishasema serikali haipatagi hasara,halafu hizo ndege zimeandikwa hapa kazi tu,slogan ya ccm sidhani kama ni za watanzania wote,siyo kila mtu ni ccm.Kuna watu wanafurahi na kuomba nchi ipate shida. Watanzania ni watu wa ajabu sana
Hahaha mzee baba si unajua mambo yakusimuliwaKwanini kuzima simu wakati unaweza kuiweka katika flight mode na ukaendelea kuselfika,,