Jaman majina ya waliopita kwenye usaili wa sajini zimamoto vipi mbona kimya?
wewe watu mbona wameitwa kazini angalia majina kwenye tovuti ya wizara ya mambo ya ndani Ministry of Home Affairs - Home