Masai dada akienda kuripoti chuo

MUSSOLIN si sahihi kutoa picha za watu ambao hawana kosa pasipo idhini. Hivi angekuwa ni dada yako kafanyiwa hivi ungejisikiaje. Unajua utamuathiri vipi mtoto wa watu katika makazi yake mapya na kimasomo pia? Moderators hizi picha muwe makini. Siku moja zitaleta habari nyingine.
 
Last edited by a moderator:

ni mimi apa
 
Last edited by a moderator:

Hiyo picha wala haina ubaya wowote na imefifia hasa hata uiangalie na darubini ni ngumu kumtambua ninani
Kuna picha haziruhusiwi JF kwasasa hii ya namna hii haimo kwenye orodha
 
Last edited by a moderator:
Hiyo picha wala haina ubaya wowote na imefifia hasa hata uiangalie na darubini ni ngumu kumtambua ninani
Kuna picha haziruhusiwi JF kwasasa hii ya namna hii haimo kwenye orodha

mshana jr huyo dada kama angekuwa anatafutwa hiyo picha isingesaidia kumtambua? Inawezekana ikawa simple sana kuweka picha kama hiyo, lakini hatujui binti wa watu atapata shida gani anapofanya mabadiriko au hata utani atakaoupata kila siku kutoka kwa watu wanaomzunguka. Sitarajii kama angekuwa dada wa mwanzisha thread angeweza kumposti humu, kwa maana sio vizuri. Ila kwa sababu hawana uhusiano, haijawa tabu kuirusha.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…