Masada wa jina la ugonjwa na dawa yake

Masada wa jina la ugonjwa na dawa yake

Nunua hizi dawa na tumia nitakavyokuelekeza.

Tab.Cefixime 400mg PO stat... Hivi utakunywa Mara Moja.

Tab.Azithrimycin 1gm PO stat.hivi utakunywa Mara Moja Kwa pamoja nahapo juu.

Benzyl benzoate Emulsion 25% (BBE). Ukishaoga, Tumia maji ya uvugu uvugu kusafisha Eneo lote la liloathirika kuanzia mapajan kuja Kwa uume..

Kisha jikaushe Kwa kitambaa safi na Pakaa hiyo dawa BBE Kila siku Asubuh au kila siku Jioni Kwa muda wa siku 4.

Hakikisha Nguo zako zote ulovaaa na mashuka na makava ya kitandan, ama meyafua Kisha umeyanyoosha Kwa pasi au umeyasuuzia kwenye maji ya moto.

Badili nguo za Ndani Mara mbili Kwa siku, usivae nguo ya ndan bila kuinyoosha .

Kwa muda Huu Achana na Mademu.
Daktari umetoa muingozo mzuri lakini hujamwambia anatibu ugonjwa gani mkuu.
 
Ugonjwa mojawapo wa zinaa huo, STDs, unafanya zinaa bila kinga, unaonekana hujikingi unatumbukia kwa wanawake unprotected kabisa, nenda Regency Hosp, wana maabara na Dr wazuri sana, upime Lancet Lab yao nzuri sana, upate majibu ndio utumie dose, usitumie dawa yoyote bila kupima vizuri, utakuwa hanidhi ke.nge wee hujui hata condom.

Pole sana, nenda na huyo mdada nae akapime ndiyo mtapata jibu kamili...

Sky Eclat pitia hapa...
 
Wanna JF anaejua jina na dawa ya huu ugonjwa anisaidie tafadhali maana nmeenda hospital kupima ukimwi naambiwa Sina, wanasema labd UTI lakini UTI Sina ,mbomba La mkojo linawasha hatari na hvo vipele vinawasha Sana na kila siku vinaibuka vipya hali si nzurii msaada jamani kuna mdada nilimchakata ndo nkaanza kuona dalili hizi
View attachment 2330205View attachment 2330206
Kapime Gono na syphilis.
 
Nunua hizi dawa na tumia nitakavyokuelekeza.

Tab.Cefixime 400mg PO stat... Hivi utakunywa Mara Moja.

Tab.Azithrimycin 1gm PO stat.hivi utakunywa Mara Moja Kwa pamoja nahapo juu.

Benzyl benzoate Emulsion 25% (BBE). Ukishaoga, Tumia maji ya uvugu uvugu kusafisha Eneo lote la liloathirika kuanzia mapajan kuja Kwa uume..

Kisha jikaushe Kwa kitambaa safi na Pakaa hiyo dawa BBE Kila siku Asubuh au kila siku Jioni Kwa muda wa siku 4.

Hakikisha Nguo zako zote ulovaaa na mashuka na makava ya kitandan, ama meyafua Kisha umeyanyoosha Kwa pasi au umeyasuuzia kwenye maji ya moto.

Badili nguo za Ndani Mara mbili Kwa siku, usivae nguo ya ndan bila kuinyoosha .

Kwa muda Huu Achana na Mademu.
Pia mawasiliane na alimuambukiea nae anywe dawa.
 
Back
Top Bottom