Masada wa jina la ugonjwa na dawa yake

Masada wa jina la ugonjwa na dawa yake

Joined
Jul 19, 2022
Posts
68
Reaction score
92
Wanna JF anaejua jina na dawa ya huu ugonjwa anisaidie tafadhali maana nmeenda hospital kupima ukimwi naambiwa Sina.

Wanasema labd UTI lakini UTI Sina, mbomba La mkojo linawasha hatari na hvo vipele vinawasha Sana na kila siku vinaibuka vipya hali si nzurii msaada jamani kuna mdada nilimchakata ndo nkaanza kuona dalili hizi.

Screenshot 2022-08-21 120344.png
Screenshot 2022-08-21 120312.png
 
Wanna JF anaejua jina na dawa ya huu ugonjwa anisaidie tafadhali maana nmeenda hospital kupima ukimwi naambiwa Sina, wanasema labd UTI lakini UTI Sina ,mbomba La mkojo linawasha hatari na hvo vipele vinawasha Sana na kila siku vinaibuka vipya hali si nzurii msaada jamani kuna mdada nilimchakata ndo nkaanza kuona dalili hizi View attachment 2329881View attachment 2329883
Unatabia ya kuingilia kinyume na maumbile(Tigo)?Kama ni kweli, basi hayo ni maambukizi ya bacteria kwenye mrija wa uume,wahi hospital.Ukichelewa Operation inaweza kuwa ndo njia pekee itakayo Baki...

N.B Sina uzoefu na magonjwa ya ngono,yaan kaswende na kisonono...
 
Nunua hizi dawa na tumia nitakavyokuelekeza.

Tab.Cefixime 400mg PO stat... Hivi utakunywa Mara Moja.

Tab.Azithrimycin 1gm PO stat.hivi utakunywa Mara Moja Kwa pamoja nahapo juu.

Benzyl benzoate Emulsion 25% (BBE). Ukishaoga, Tumia maji ya uvugu uvugu kusafisha Eneo lote la liloathirika kuanzia mapajan kuja Kwa uume..

Kisha jikaushe Kwa kitambaa safi na Pakaa hiyo dawa BBE Kila siku Asubuh au kila siku Jioni Kwa muda wa siku 4.

Hakikisha Nguo zako zote ulovaaa na mashuka na makava ya kitandan, ama meyafua Kisha umeyanyoosha Kwa pasi au umeyasuuzia kwenye maji ya moto.

Badili nguo za Ndani Mara mbili Kwa siku, usivae nguo ya ndan bila kuinyoosha .

Kwa muda Huu Achana na Mademu.
 
Wanna JF anaejua jina na dawa ya huu ugonjwa anisaidie tafadhali maana nmeenda hospital kupima ukimwi naambiwa Sina, wanasema labd UTI lakini UTI Sina ,mbomba La mkojo linawasha hatari na hvo vipele vinawasha Sana na kila siku vinaibuka vipya hali si nzurii msaada jamani kuna mdada nilimchakata ndo nkaanza kuona dalili hizi View attachment 2329881View attachment 2329883
Pole sana mzee baba 😀 siku ingine utumie ndomu! Huo ugonjwa umekaa kama Karunguyeye
 
Back
Top Bottom