Masada: Mashine ya kufyatulia "Paving Blocks"

Tundapori

JF-Expert Member
Aug 12, 2007
649
274
Kwa mwenye kufahamu: Natafuta mashine ya kufyatulia Paving Blocks.

Ama kwa kutengenezewa au kununua iliyotengenezwa tayari. Iwe machine yenye ubora na iwe mara.

Itafaa zaidi kama nikipata kampuni au jina la mtu anayetengeneza pamoja na bei ya machine.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom