MASABURI meya wa jiji la Dar

CLEMENCY

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2008
Posts
211
Reaction score
120
Didas Masabauri amechaguliwa kuwa meya wa jiji la Dar-es-salaam
 
Didas Masabauri amechaguliwa kuwa meya wa jiji la Dar-es-salaam

We mzima kweli??????????????? nakuona kama unakimbizwa!!!! Uchaguzi ni keshokutwa huyo aatakuwa ameteuliwa na Chama Cha Mafisadi, bado hajawa thibitisha la sivyo tutolee uchizi wako hapa
 
Wewe kweli choka mbaya! Yaani kupitishwa tu na CCM ndo umeona ameshakuwa MEYA? Kama hujui taratibu za uchaguzi wa ma-meya ni vizuri ukatulia kwanza kuliko kukimbilia kupost vitu visivyokuwa na kichwa wala miguu!!
 
Didas Masabauri amechaguliwa kuwa meya wa jiji la Dar-es-salaam

Kama ni kweli basi zile milioni 300 alizomuhonga Makamba hazikupotea bure!! Huo ni ushindi kwa Mafisadi na kilio kwa wapenda haki!!
 
kile cheti cha SAKATRI MUHIMBILI ulikirudisha ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…