Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Asante kakaNenda jukwaa la michezo, ingia ndani hadi kwenye uzi wa wazee wa kuweka mzigo (kubeti) mwulizie mtu anaitwa etoo43 au enternal walikuwa wanauza hizo line.
Tufuta line ya voda mkuu unaweza kufanya purchase online kwani wana option ya kuwa na MasterCard
1. Utatoa ukiwa hapahapa Tanzania. Ukitaka kuweka utatumia line ya Vodacom mpesa kwenda safaricom.
2. Ngoja waje ila epuka kutapeliwa.
kutoa hata kwa wakala unatoa, unapokea nkSamahani za muda huu na shida ya kufungua account ya paypel maana kuna vitu ving nataka kufanyia hii account sasa nimeambiwa natakiwa niwe na line ya safaricom hilo nifungue account ya paypel sasa mimi na maswali naomba umnisaidie
1. Je, line za safaricom zinaweza pokea hela zikiwa Tanzania na kama zinapokea je nitazitoaje hizo hela kutoka safaricom(maana tunajua hizi ni line za kenya)?
2 Na nipataje hizi line za safaricom na je, gharama zake ni Tsh ngapi??
Kama utaitumia kupokea pesa, utatoa kwa kuhamisha kupitia mpesa.
Asante sana kakaKama utaitumia kupokea pesa, utatoa kwa kuhamisha kupitia mpesa.
simcard za safaricom zinauzwa Arusha na dar es salaam kuna watu wanauza nilisikia ila sasa zimekuja tayari zimesajiliwa kwa majina ya watu.
kama una nafasi nenda mpakani ukiwa passport unaweza kusajili kwa jina ako iwe salama zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama utaitumia kupokea pesa, utatoa kwa kuhamisha kupitia mpesa.
ok sawa kaka,vilevile unaweza pata izo simcard kwa watu wa forex ,sikuizi wanazitumia &kuziuza
ok sawa kaka,vilevile unaweza pata izo simcard kwa watu wa forex ,sikuizi wanazitumia &kuziuza
Sent using Jamii Forums mobile app