MANGUNGO JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 1,536 Reaction score 354 Sep 26, 2013 #1 Naomba kujua namna ya ku-restore simu yangu na ikiwa kama ilivyotoka kiwandani.asanteni wadau
Masuonline Senior Member Joined Jun 4, 2013 Posts 194 Reaction score 21 Oct 13, 2013 #2 Bonyeza *#7780# kisha weka pin code za simu, kama bado hujazibadilishaga weka 12345 utaona inajirestore.kumbuka kurudisha feedback
Bonyeza *#7780# kisha weka pin code za simu, kama bado hujazibadilishaga weka 12345 utaona inajirestore.kumbuka kurudisha feedback