Masaa machache yalopita..

Anakataaje kutubu?
Fupa limemkwama hili asaidiwe kulitoa/kulikwamua.
 
Siasa ni maisha ya kila siku na kila unachokiona mbele yako kinakuwa affected na siasa...... sasa unaposema mtu asiwaze siasa muda wote sijui una maana gani
Asante kiongozi ... utachukua kwa kadri uelewavyo na kwa ufahamu wako pia ... but I think I just did what I thought is good.
 
Jirani yangu ni Tanzania,ikitaka kuongeza spidi ya Maendeleo inabidi lifupa(CCM) lidondoshwe na likanyagwe na semi la tani mia nane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…