Safi sana mdau,fasihi uliotumia ni tamu sana!Hii habari nimeipata kwenye mtandao wa kijamii. Ina funzo kwa kila mmoja wetu, tunapokaribia kumaliza mwaka 2017.
"Gari ndogo nililokuwamo nikienda kwenye pilika za maisha ilikuwa speed kama 80/90 hivi....Ghalfa tukamwona Mbwa akijitahidi kushindana na speed ya gari kuvuka barabara....
Sikutamani kabisa kuona akigongwa..na moyoni nikawa natamani ajitahidi kuongeza mwendo..
Gari likiwa limekaribia kabisa ... Nikaona mbwa ameongeza mwendo ghafla na kufanikiwa kuvuka....pumzi ikanishuka.
Lakini kuna kitu tulikiona kimedondoka kabla mbwa hajaweza kuongeza mwendo... Nikamwomba dereva turudi nyuma kidogo...
Nilipoona kitu mbwa alichodondosha... Nikajifunza somo kubwa sana... Hakika Mbwa amenikumbusha kitu kikubwa sana katika tukio hili..
MBWA alidondosha Mfupa wa nyama... Simple... Ilifika mahali mbwa aliona bora aache mfupa apate speed aokoe maisha!!!!!
Hii ni akili kubwa sana
ACHA MFUPA
KUNA MIFUPA TUMEING'ANG'ANIA 2017. TUKIFANIKIWA KUWA JASIRI WA KUACHIA MIFUPA TULOING`ANG`ANIA, MWAKA 2018 TUTAKUWA WA KUJISHANGAZA.
KUNA MIFUPA YA KILA AINA TUMEING`ANG`NIA 2017. NI HAKIKA IMETUKWAMISHA MNOO
HEBU TUFANYE MAAMUZI MAGUMU... TUSIVUKE 2017 NA MIFUPA YETU.
TUIDONDOSHE HARAKA SANA
[/I]1) UZITO TULIONAO WA KUOMBA MSAADA WA MAWAZO NI MFUPA..
2) KUTUMIA MBINU ZILE ZILE ZINAZOSHINDWA NAO NI MFUPA..
3) KUDHANI KWAMBA HELA PEKE YAKE INAWEZA KUKULETEA FURAHA..HUU MFUPA MGUMU SANA
4) KUTO WAHI KAZINI NA KUTOTIMIZA MAJUKUMU YETU IPASAVYO NI MFUPA
5) KUTO HUDHURIA IBAADA/ MSIKITINI HUU HATA FISI HAWEZI KUULA
KUTOKUJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA NI MFUPA
6) KUFURAHIA KUONA WENZETU WANASHINDWA WAKATI TUNGEWEZA WASAIDIA WAKAFANIKIWA NI MFUPA[/I]
HII NI BAADHI TU YA MIFUPA TULIYO BEBA.
TUDONDOSHE MFUPA....ILI 2018 UKAWE MWAKA WA MAFANIKIO KWA KILA MMOJA WETU
MUAMBIE JIRANI YAKO DONDOSHA MIFUPA INAKUCHELEWESHA.
SIKU NJEMA
Tupunguze KUWAZA SIASA muda wote ... (asubuhi, mchana, jioni, usiku) yaani muda wote POLITICS tu. It really HINDERS our PROGRESS .... Huo ni MFUPA HATARI hata fisi hauwezi kamwe ....Hadithi yako inawafaa sana viongozi wa CCM.
Ni kweli siasa wakati wote mahala popote, hata katika nyumba za ibada ni mfupa mgumu.Tupunguze KUWAZA SIASA muda wote ... (asubuhi, mchana, jioni, usiku) yaani muda wote POLITICS tu. It really HINDERS our PROGRESS .... Huo ni MFUPA HATARI hata fisi hauwezi kamwe ....
Ila anaposifiwa magufuli kwenye nyumba za ibada haiwi siasa!! Huu mfupa wa unafki tuutupe pia 2018Ni kweli siasa wakati wote mahala popote, hata katika nyumba za ibada ni mfupa mgumu.
Hii habari nimeipata kwenye mtandao wa kijamii. Ina funzo kwa kila mmoja wetu, tunapokaribia kumaliza mwaka 2017.
"Gari ndogo nililokuwamo nikienda kwenye pilika za maisha ilikuwa speed kama 80/90 hivi....Ghalfa tukamwona Mbwa akijitahidi kushindana na speed ya gari kuvuka barabara....
Sikutamani kabisa kuona akigongwa..na moyoni nikawa natamani ajitahidi kuongeza mwendo..
Gari likiwa limekaribia kabisa ... Nikaona mbwa ameongeza mwendo ghafla na kufanikiwa kuvuka....pumzi ikanishuka.
Lakini kuna kitu tulikiona kimedondoka kabla mbwa hajaweza kuongeza mwendo... Nikamwomba dereva turudi nyuma kidogo...
Nilipoona kitu mbwa alichodondosha... Nikajifunza somo kubwa sana... Hakika Mbwa amenikumbusha kitu kikubwa sana katika tukio hili..
MBWA alidondosha Mfupa wa nyama... Simple... Ilifika mahali mbwa aliona bora aache mfupa apate speed aokoe maisha!!!!!
Hii ni akili kubwa sana
ACHA MFUPA
KUNA MIFUPA TUMEING'ANG'ANIA 2017. TUKIFANIKIWA KUWA JASIRI WA KUACHIA MIFUPA TULOING`ANG`ANIA, MWAKA 2018 TUTAKUWA WA KUJISHANGAZA.
KUNA MIFUPA YA KILA AINA TUMEING`ANG`NIA 2017. NI HAKIKA IMETUKWAMISHA MNOO
HEBU TUFANYE MAAMUZI MAGUMU... TUSIVUKE 2017 NA MIFUPA YETU.
TUIDONDOSHE HARAKA SANA
[/I]1) UZITO TULIONAO WA KUOMBA MSAADA WA MAWAZO NI MFUPA..
2) KUTUMIA MBINU ZILE ZILE ZINAZOSHINDWA NAO NI MFUPA..
3) KUDHANI KWAMBA HELA PEKE YAKE INAWEZA KUKULETEA FURAHA..HUU MFUPA MGUMU SANA
4) KUTO WAHI KAZINI NA KUTOTIMIZA MAJUKUMU YETU IPASAVYO NI MFUPA
5) KUTO HUDHURIA IBAADA/ MSIKITINI HUU HATA FISI HAWEZI KUULA
KUTOKUJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA NI MFUPA
6) KUFURAHIA KUONA WENZETU WANASHINDWA WAKATI TUNGEWEZA WASAIDIA WAKAFANIKIWA NI MFUPA[/I]
HII NI BAADHI TU YA MIFUPA TULIYO BEBA.
TUDONDOSHE MFUPA....ILI 2018 UKAWE MWAKA WA MAFANIKIO KWA KILA MMOJA WETU
MUAMBIE JIRANI YAKO DONDOSHA MIFUPA INAKUCHELEWESHA.
SIKU NJEMA
Siasa ni maisha ya kila siku na kila unachokiona mbele yako kinakuwa affected na siasa...... sasa unaposema mtu asiwaze siasa muda wote sijui una maana ganiTupunguze KUWAZA SIASA muda wote ... (asubuhi, mchana, jioni, usiku) yaani muda wote POLITICS tu. It really HINDERS our PROGRESS .... Huo ni MFUPA HATARI hata fisi hauwezi kamwe ....
He!!!!!! wamekuwa mfupa tenaMfupa mwingine ni Lowasa na Mbowe
SawaTupunguze KUWAZA SIASA muda wote ... (asubuhi, mchana, jioni, usiku) yaani muda wote POLITICS tu. It really HINDERS our PROGRESS .... Huo ni MFUPA HATARI hata fisi hauwezi kamwe ....
Jiwe limetupwa kizani hilo .... watu wanagugumia kwa maumivukutembea na wake za watu na waume za watu ni mfupa tena wa kitimoto.
wadada kuacha kutafuta hela na kuegemea kwny kutafuta wasio na vibamia na kila siku kujadili kuhsu vibamia ni lijimfumpaa.