Masaa machache yaliyopita...

mmmh achen hizi tabia za kucopy vimeseji na kuvipest hapa Jf na kujitia mmeona nyie

mbn msg za kizaman sana hii?
Sawa. Lakini Mm nilikuwa Bado kuipata hii meseji. Imenisaidia sana kujifunza kit. Labda Mshana Jr ajé aongezee nyama, itapendeza!!!!
 
Sasa wewe unaona mfupa tu umetupwa
Sawa. Lakini Mm nilikuwa Bado kuipata hii meseji. Imenisaidia sana kujifunza kit. Labda Mshana Jr ajé aongezee nyama, itapendeza!!!!
Wewe unataka mtu aongeze nyama tena,si ndio mbwa atachanganyikiwa na kugongwa kabisa!!!
 
Hivi hapa mbwa alidondosha, au ulimdondoka baada ya kuongeza speed?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…