Maryland Mwenge..

Hahahahahaa basi sawa, hapo ngoma droo.
Hahaha yes, life is good. Kwa mbali hapa naskia ka wimbo ka papa wemba Rail on. I miss em days,days of ifm.. days of reckoning
 
Hahahahahahaaa looh, acha kufukua makaburii...
 
Tuache utani aliye buni hyo chupa ya K vant alikuwa na akili kweli yani chupa inatamanisha aijalishi kilichomo ndani. Ata kama ni tupu unaweza kuinunua kwa buku tatu ukapambe nyumbani kwako.
 
πŸ˜³πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Walevi nao wangepewa vitambulisho 20,000/= kwa mwaka. Naona kuna ka trilioni kamelala hapa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…