Chetuntu,
Huyu mama ni mubaya linapofika swala la fedha...
Ameshiriki kikamilifu kufilisi SACCOS ya akina mama kule Arumeru, na vijisent hivyo amejenga ka -Guest House kanaitwa Mount Ilulu kapo ARusha, sehemu ya Njiro. Rafiki yangu amewahi kulala hapo...ni sehemu ya maficho ya wazinzi, na yeye huwa yupo kushuhudia ufirauni unaoenedelea hapo.
Kwenye fedha hana mzaha, hata ndoa yake anweza iweka kando....
Waulize wajamaa wa Arusha, wanamjua vilivyo.....
Sisis wa ughaibuni tunaletewaga udaku huu na waliokaribu naye....