Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,261
- 18,261
Sijaenda bado kucheki BP. Naona watu mnaipa 8/10 vipi mkifananisha na Original BP?
Maana IMDb original 2018 waliipa 7.3 na hii sequel wameipa 7.4
Nitaenda Monday Cinemax kuangalia 2D
Ila Cinemax anaitaji mshindani wake la zamani Cineplex aisee (Mkuki na Quality Centre)
We acha tu,Kweli. Pia nampongeza kuchukua hatua za haraka kujihakikishia tatizo halifiki mbali tofauti na ilivyotokea kwa mpendwa wetu Chadwick
Black panther ilikuboa wapiWana marvel ni noma lakini DG nao ni kisanga,
Marvel wamenikosha hapa
1. Doctor stranger
2. Thor: Ragnarok
3. Captain America: Civil war
4. Iron man 3
5. Avengers: Infinity war
Walipo kuja kuniboa
1. Black Panther
2. Ant-man & the wasp
3. Deadpool 2
4. Thor: The dark world
5.Venom
6. Karibia series zao zote
Me Venom ile ya pili jamaa wamezngua pakubwa sana. Movie haishawish bora hat Morbius nawez iangalia tena ila sio VenomBlack panther ilikuboa wapi
Me Venom ile ya pili jamaa wamezngua pakubwa sana. Movie haishawish bora hat Morbius nawez iangalia tena ila sio Venom
Chris hemsworth amepanga kuchukua mapumziko ya kuigiza baada ya kuugua ugonjwa wa alzheimer's disease.
Ugonjwa huu unaathiri sehemu ya ubongo na kusababisha mtu kupata shida ya kumbukumbu sawa na ugonjwa wa dementia.
Wazungu sio wenzetu hata kama Tatizo litakua serious Chriss ana mdogo wake Liam na wanafanana anaweza kuchukua nafasi ya kaka yake na muvi ikawa bado nzuri. Sura inabadirishwa inaonekana ya ChrissOoohhh habari mbaya hiii nani ataigiza thor mwendelezo jamani [emoji2301][emoji2301]
Haiwezi kua nzuri,Wazungu sio wenzetu hata kama Tatizo litakua serious Chriss ana mdogo wake Liam na wanafanana anaweza kuchukua nafasi ya kaka yake na muvi ikawa bado nzuri. Sura inabadirishwa inaonekana ya Chriss
Nadhani atakua kishapata nafuu, (crossed fingers)Ooohhh habari mbaya hiii nani ataigiza thor mwendelezo jamani [emoji2301][emoji2301]
Mkuu familia nzima ya Chriss ilikuwepo kwenye hii muvi kuanzia Mke wake,kaka yake na watoto zake. Watoto wa christian bale na pia walikuwepo japo role yao iliku ndogo (kati ya wale waliotekwa)Nadhani atakua kishapata nafuu, (crossed fingers)
Leo ndio najua yule mtoto wa Gorr (God Butcher) ni Mtoto halisi wa Thor lakini pia na wale watoto wake mapacha wapo pia kwenye hiyo Love and Thunder
Fast and Furious 7 ilikua nzuri au mbaya?? Maana robo tatu ya scene za Paul walker alizcheza Mdogo wakeHaiwezi kua nzuri,
Chris ni Chris na Liam ni Liam tu.
My point is, kufanana pekee hakutoshi kila Mtu ana Upekee wake na mbaya zaidi sisi Mashabiki akiondoka Muigizaji tumpendae akiwekwa replacement yake hua hatumkubali na ndio mwanzo wa kifo cha hiyo movie.Fast and Furious 7 ilikua nzuri au mbaya?? Maana robo tatu ya scene za Paul walker alizcheza Mdogo wake
Kujua zaidi walivyofanya soma hapa [emoji116]
Preview ya Black Panther Wakanda Forever 2022
Kuna watu unajikuta unawapenda bila sababu yoyote/unconditionally yaani unamkubali tu, basi upande wangu kuna orodha ndefu ya watu wengi ninaowakubali sana kama vile 2Pac, Mohamed Ali, T. Sankara, P. Lumumba, Kit Harington, Charlie Cox, Nyerere, fidel Castro, Luck Dube,JPM, Jidenna, Runtown...www.jamiiforums.com
I rest my case to you pal!My point is, kufanana pekee hakutoshi kila Mtu ana Upekee wake na mbaya zaidi sisi Mashabiki akiondoka Muigizaji tumpendae akiwekwa replacement yake hua hatumkubali na ndio mwanzo wa kifo cha hiyo movie.
The lord of the rings: the rings of power
Action/Adventure e.t.c
Hii series ni kali sana , kwa sasa nasubiria season 2
Wakuu naombeni majina ya series nzuri zenye adventure na action ila zisiwe ndefu sana
Kumbe Liam mdogo wake sikuwah jua nilikuwa najiuliza mbona wanafananaWazungu sio wenzetu hata kama Tatizo litakua serious Chriss ana mdogo wake Liam na wanafanana anaweza kuchukua nafasi ya kaka yake na muvi ikawa bado nzuri. Sura inabadirishwa inaonekana ya Chriss
Kuna fununu movie zijazo ndio itakuwa mara ya mwisho kumuona thor. Bado hatujui marvel watamuua au itakuwajeOoohhh habari mbaya hiii nani ataigiza thor mwendelezo jamani [emoji2301][emoji2301]
Aisee nilipigwa na kitu kizito,alafu kuna namna huu uzi ulipotea kabisa kwanguUmepotea jamaa