Ila Siku hizi ndio inflation au vipi
Dream Queen au wameona tunapenda Aura? bei imekuwa juu ghafla cinema and by the way seats ziko halfway booked by now, kama unataka kuwahi bora ubook mapema ila kabla ya hayo...nauliza
Hivi hii haitokuwa na preview? “Ile watch before the whole world watches” ... kwamba one day before wanaionyesha na watu mnanunua tiketi
View attachment 2408457