Hapana Naomba nikukosoe kidogo HOD inaelezea zaidi tukio la vuta ya wenyewe kwa wenyewe katika koo ya Targaryen. Vita hivyo inafahamika kama A dance of Dragons kipo kitabu chake... Nadhani HOD itatuonyesha pia jinsi House Strong kutoka mji wa Harenhall ulivyoteketea. Nasubiri nione pia kama wataonyesha jinsi koo ya Castamere ilivyoteketezwa na koo ya Lannisters. Hadi wakatunga wimbo wa The rain of Castamere
Namor the Sub-Mariner (born Namor McKenzie) is an anti-hero in the Marvel Universe, and is the son of an Atlantean princess and a human, making him a mutant-Atlantean hybrid. Despite often being a villain himself, he has redeemable qualities, and is willing to not only protect the sea, but the world.